Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hadi 70% ya Wajerumani katika hatari ya kuambukizwa Coronavirus

Kansela wa Ujerumani ameonya kuwa karibu watu milioni 58 wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya corona.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Mijimama’ inavyoingiza waosha kucha, miguu katika hatari ya kuambukizwa VVU

>Utengenezaji wa kucha na uoshaji miguu ni biashara inayokuwa kwa kasi hasa maeneo ya mijini ambapo wanawake wengi wanahusudu na kujihusisha na masuala ya urembo.

 

5 years ago

Michuzi

Merkel: 60% hadi 70% ya Wajerumani huenda wakakumbwa na Corona

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amesema yumkini asilimia 60 hadi 70 ya jamii ya nchi hiyo ya Ulaya itaambukizwa virusi vya Corona.

Merkel alisema hayo jana Jumanne mbele ya Bunge la nchi hiyo ambalo lilipokea kwa mshtuko mkubwa takwimu hizo za kuogofya za Kansela wa nchi hiyo.

Amesema ikilazimu, vikao vya Bunge la nchi hiyo ya Ulaya vitasimamishwa, sambamba na kufutwa kwa mikutano na shughuli zenye mijumuiko ya watu wengi. Hata hivyo hajaeleza serikali yake imejiandaa vipi kukabiliana na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Ni kina nani walio katika hatari ya kupaya ugonjwa huu?

Kwa sasa kukisiwa kwamba uwezekano wa Coronavirus kusababisha kifo ni asilimia sio kwa kila mmoja

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Hatari ya kuambukizwa corona Dar es Salaam ipo juu yasema Marekani

Hatari ya kupata maambukizi ya Corona jijini Dar es Salaam ni kubwa sana. Licha ya kwamba taarifa hazitolewi mara kwa mara, ubalozi wa Marekani Tanzania waeleza.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je, unawatambua watu walio hatarini kuambukizwa virusi vya corona?

Virusi vya corona vinaweza kumuathiri mtu yeyote, lakini watu wenye maradhi fulani pamoja na wazee ni rahisi kupata maambukizi ya ugonjwa huo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Italia yachukua hatua za dharura nchi nzima kudhibiti virusi hatari

Takribani watu milioni 60 wameamriwa kubaki majumbani kujiepusha na maambukizi ya virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mechi za Ligi ya soka ya England kuahirishwa hadi tarehe 3 Aprili

Mechi za Ligi kuu ya soka ya England zitaahirishwa hadi tarehe 4 Aprili kufuatia baadhi ya wachezaji wa ligi hio kupatikana na maambukizi ya virusi vya Corona.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

WHO limeelea kuhusu hatari ya ugonjwa wa Ebola kufika Kenya kutokana na nchi hiyo kuwa kitovu cha usafiri wa ndege kwenda Afrika Magharibi

 

11 years ago

BBCSwahili

Ghana katika hatari ya marufuku ya FIFA

Shirikisho la kandanda la Ghana limo katika hatari ya kupigwa marufuku na fifa kufuatia uchunguzi wa Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani