Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi Tazara wasota kortini kusubiri hukumu

SAKATA la mgomo wa wafanyakazi 1,500 wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ulioingia katika siku ya sita, limechukua sura mpya baada ya wafanyakazi hao waliofunguliwa kesi katika Mahakama ya Kazi, kusota kwa siku nzima wakisubiri hukumu yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Tazara waburuzwa kortini

MAMLAKA ya Reli la Tanzania na Zambia (Tazara) imewashitaki Mahakama Kuu wafanyakazi wake waliokuwa wamegoma, wakishinikiza kulipwa fedha zao za mishahara.

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANAYAKAZI WA UWANJA WA NDEGE SONGWE WACHELEWAJI KUFIKA KAZINI ABIRIA WALEO ALFAJIRI WASOTA KWA MASAA WAKIWASUBIRI WAFANYAKAZI HAO

Songwe international Reporting time 6.15am Basi la airport staff linafika 07.40 am likiwa na wafanyakazi hivi kweli ndiyo utaratibu wa kazi?Abiria wakiwa wameduwaa wala hawajui wa kumuuliza kuwa ndege ipo au la poleni sana abiria wa leo asubuhiFoleni ya mabegi hakuna wa kukagua kazi ipo jee huu ni uungwana? kuwasotesha Abiria namna hii?

 

10 years ago

Habarileo

Waliogoma Tazara waburuzwa kortini

Makao Makuu ya tazara, Dar es SalaamWAKATI mgomo wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ukiingia katika siku ya tano leo, menejimenti ya mamlaka hiyo imewashitaki Mahakama ya Kazi wafanyakazi wote waliogoma, kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitano.

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Tazara kugoma

Dk Harison MwakyembeWAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) kupitia Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (Trawu) wameazimia kuanza mgomo leo wakidai Serikali Sh bilioni 12.5 huku wakisitisha huduma za usafiri wa treni zote za mamlaka hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Wafanyakazi TAZARA wagoma

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wamegoma kufanya kazi kwa kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitatu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Tazara Mbeya kugoma

ZAIDI ya wafanyakzi 1,000 wa Shirika la Reli Tanzania na Zambia (Tazara), mkoani hapa wametishia kugoma kuendelea na kazi iwapo serikali haitawalipa malimbikizo ya mishahara yao ya miezi mitano. Wakizungumza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Tazara warejea kazini

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), jana walirudi kazini baada ya mgomo wa takribani wiki mbili. Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Tazara kuwafungulia kesi...

 

11 years ago

Habarileo

Wafanyakazi TAZARA kukatwa mishahara

MGOMO wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia umesababisha hasara ya Sh bilioni 2.65 ambazo sasa Serikali imesema wafanyakazi watakatwa kwenye mishahara yao kufidia. Wafanyakazi hao ambao jana wametangaza kusitisha mgomo huo baada ya Mahakama kuuba- tilisha juzi, imeelezwa kwamba mishahara yao itakatwa kwa utaratibu utakaowekwa na Menejimenti.

 

10 years ago

Habarileo

Hatimaye wafanyakazi Tazara kimeeleweka

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) wamelipwa mishahara yao ya miezi minne waliyokuwa wakidai .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani