Wafanyakazi Tazara kugoma
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) kupitia Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (Trawu) wameazimia kuanza mgomo leo wakidai Serikali Sh bilioni 12.5 huku wakisitisha huduma za usafiri wa treni zote za mamlaka hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Wafanyakazi Tazara Mbeya kugoma
ZAIDI ya wafanyakzi 1,000 wa Shirika la Reli Tanzania na Zambia (Tazara), mkoani hapa wametishia kugoma kuendelea na kazi iwapo serikali haitawalipa malimbikizo ya mishahara yao ya miezi mitano. Wakizungumza...
11 years ago
Habarileo30 Apr
Wafanyakazi Strabag waendelea kugoma
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya ujenzi ya Strabag, wameingia siku ya pili ya mgomo wao huku wakishinikiza kulipwa marupurupu mbalimbali, wanayoyadai kwa zaidi ya miezi saba hadi sasa. Awali, wakizungumza nje ya ofisi za kampuni hiyo zilizopo Ubungo jijini Dar es Salaam juzi, wafanyakazi hao wanaojenga barabara za mabasi yaendayo kasi chini ya Mradi wa DART, walisema walifikia hatua ya kugoma kwa madai ya kuona wanazungushwa kupewa marupurupu hayo huku wakihofu muda uliobaki kwa kampuni hiyo kabla...
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Wafanyakazi Chemba watishia kugoma
WAFANYAKAZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wanakusudia kugoma kufanya kazi baada ya serikali wilayani humo kuzuia mishahara yao kwa miezi mitatu sasa kwa madai ya kutochangia sh...
9 years ago
Michuzi09 Oct
NAMNA AMBAVYO WAFANYAKAZI MNAWEZA KUGOMA KISHERIA.
Na kikubwa wanachofanya hali ikishakuwa hivi ni kusema mgomo haukuwa halali na hapo kupata nafasi ya ...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Bunga la #Katiba: Wafanyakazi wadai haki ya kugoma
11 years ago
Habarileo14 May
Wafanyakazi TAZARA wagoma
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wamegoma kufanya kazi kwa kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitatu.
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
TUCTA: Tazara lipeni wafanyakazi
RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Gratian Mukoba ameitaka Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kuwalipa wafanyakazi wake malimbikizo ya mishahara ya miezi mitano ndani ya...
11 years ago
Habarileo27 May
Wafanyakazi Tazara waburuzwa kortini
MAMLAKA ya Reli la Tanzania na Zambia (Tazara) imewashitaki Mahakama Kuu wafanyakazi wake waliokuwa wamegoma, wakishinikiza kulipwa fedha zao za mishahara.
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Wafanyakazi Tazara warejea kazini
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), jana walirudi kazini baada ya mgomo wa takribani wiki mbili. Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Tazara kuwafungulia kesi...