Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAMNA AMBAVYO WAFANYAKAZI MNAWEZA KUGOMA KISHERIA.

   bashiryakub.blogspot.comNa  Bashir  Yakub.

MARA  kadhaa  migomo  ya wafanyakazi imekuwa  ikizaa athari  mbaya kwao. Hii  ni  kutokana  na  kugoma  bila  kufuata  taratibu. Waajiri  wao  ni  wajanja. Huwa  makini  sana linapoibuka  wazo  la  kugoma  na  huwa  tayari  muda  woote  kufuatilia  nyendo  ili  panapo  kosa  kidogo  watumie  mwanya  huo  kuwadhibiti   wagomaji.  
Na  kikubwa  wanachofanya hali  ikishakuwa  hivi  ni   kusema  mgomo  haukuwa  halali  na  hapo  kupata  nafasi  ya ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Namna ambavyo video ya ‘Utanipenda’ ya Diamond ilivyotengenezwa.

Video ya Utanipenda mpaka sasa  ina siku 19 toka iwekwe kwenye mtandao wa Youtube na imetazamwa zaidi ya mara 1,031,735,Diamond kwa sasa amekua tayari kutuonyesha vile vilivyokua vinatokea nyuma ya pazia (Behind the Scene). Unaweza kuvitazama hapa pia mtu wangu. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO […]

The post Namna ambavyo video ya ‘Utanipenda’ ya Diamond ilivyotengenezwa. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Michuzi

namna ambavyo Chatu aliweza kukamatwa jijini Mbeya

 Takribani Miezi Miwili baada ya Mbeya FM Redio Kuripoti uwepo wa Chatu ndani ya Jiji la Mbeya Kukazuka Hofu na Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji. Hali hiyo ikapelekea Kujitokeza kwa Vijana hawa wawili kutokea Bagamoyo na Tanga kwaajili ya kumkamata Chatu huyo.... Hatimaye wamemkamata Chatu Mtoto amekamatwa huku Juhudi zikiendelea Kuhakiki kama kuna Chatu wengineo....  Tazama Video Hii Mtaalamu wa Kukamata Nyoka

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Tazara kugoma

Dk Harison MwakyembeWAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) kupitia Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (Trawu) wameazimia kuanza mgomo leo wakidai Serikali Sh bilioni 12.5 huku wakisitisha huduma za usafiri wa treni zote za mamlaka hiyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Chemba watishia kugoma

WAFANYAKAZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wanakusudia kugoma kufanya kazi baada ya serikali wilayani humo kuzuia mishahara yao kwa miezi mitatu sasa kwa madai ya kutochangia sh...

 

11 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Strabag waendelea kugoma

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya ujenzi ya Strabag, wameingia siku ya pili ya mgomo wao huku wakishinikiza kulipwa marupurupu mbalimbali, wanayoyadai kwa zaidi ya miezi saba hadi sasa. Awali, wakizungumza nje ya ofisi za kampuni hiyo zilizopo Ubungo jijini Dar es Salaam juzi, wafanyakazi hao wanaojenga barabara za mabasi yaendayo kasi chini ya Mradi wa DART, walisema walifikia hatua ya kugoma kwa madai ya kuona wanazungushwa kupewa marupurupu hayo huku wakihofu muda uliobaki kwa kampuni hiyo kabla...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Tazara Mbeya kugoma

ZAIDI ya wafanyakzi 1,000 wa Shirika la Reli Tanzania na Zambia (Tazara), mkoani hapa wametishia kugoma kuendelea na kazi iwapo serikali haitawalipa malimbikizo ya mishahara yao ya miezi mitano. Wakizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LINAENDELEA KUFANYA UCHUNGUZI KWA WATU WANAOHUSIKA NA KUENDESHA VITUO VYA KULELEA WATOTO AMBAVYO HAVIJASAJILIWA KISHERIA.

NaSylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linaendelea kufanya uchunguzi wa watu wanaohusika na kuendesha vituo vya kulelea watoto ambavyo havijasajiliwa na vinaendeshwa katika maeneo ambayo ni hatarishi kwa watoto. Kamanda MISIIME amesema Polisi iligundua vituo vitatu katika eneo la Nkuhungu Dodoma Mjini baada ya kupokea taarifa kwamba kuna nyumba ambazo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Namna ambavyo vijana wanaweza kujizuia na hofu ya corona

Mlipuko wa maambukizi ya corona umewafanya watu kujihisi uoga na wasiwasi.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunga la #Katiba: Wafanyakazi wadai haki ya kugoma

Katibu Mkuu wa TUCTA, Nicholaus Mgaya alidai kuwa rasimu inayowasilishwa bungeni kesho haijumuishi baadhi ya haki za msingi za wafanyakazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani