Bunga la #Katiba: Wafanyakazi wadai haki ya kugoma
Katibu Mkuu wa TUCTA, Nicholaus Mgaya alidai kuwa rasimu inayowasilishwa bungeni kesho haijumuishi baadhi ya haki za msingi za wafanyakazi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Jan
Wafanyakazi Tazara kugoma
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) kupitia Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (Trawu) wameazimia kuanza mgomo leo wakidai Serikali Sh bilioni 12.5 huku wakisitisha huduma za usafiri wa treni zote za mamlaka hiyo.
11 years ago
Habarileo30 Apr
Wafanyakazi Strabag waendelea kugoma
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya ujenzi ya Strabag, wameingia siku ya pili ya mgomo wao huku wakishinikiza kulipwa marupurupu mbalimbali, wanayoyadai kwa zaidi ya miezi saba hadi sasa. Awali, wakizungumza nje ya ofisi za kampuni hiyo zilizopo Ubungo jijini Dar es Salaam juzi, wafanyakazi hao wanaojenga barabara za mabasi yaendayo kasi chini ya Mradi wa DART, walisema walifikia hatua ya kugoma kwa madai ya kuona wanazungushwa kupewa marupurupu hayo huku wakihofu muda uliobaki kwa kampuni hiyo kabla...
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Wafanyakazi Chemba watishia kugoma
WAFANYAKAZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wanakusudia kugoma kufanya kazi baada ya serikali wilayani humo kuzuia mishahara yao kwa miezi mitatu sasa kwa madai ya kutochangia sh...
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Wafanyakazi Tazara Mbeya kugoma
ZAIDI ya wafanyakzi 1,000 wa Shirika la Reli Tanzania na Zambia (Tazara), mkoani hapa wametishia kugoma kuendelea na kazi iwapo serikali haitawalipa malimbikizo ya mishahara yao ya miezi mitano. Wakizungumza...
9 years ago
Michuzi09 Oct
NAMNA AMBAVYO WAFANYAKAZI MNAWEZA KUGOMA KISHERIA.
Na kikubwa wanachofanya hali ikishakuwa hivi ni kusema mgomo haukuwa halali na hapo kupata nafasi ya ...
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
Wachimba migodi SA wadai haki
11 years ago
BBCSwahili03 Feb
Maelfu ya walemavu wadai haki India
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Wafanyakazi TRL wadai nyongeza ya mshahara
WAFANYAKAZI wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) wameanza mgomo baridi wakidai nyongeza ya mishahara kutoka sh 200,000 hadi 300,000 kutokana na kupanda kwa gharama za maisha. Wakizungumza katika mkutano na...
11 years ago
Habarileo17 Mar
Wataka Katiba iwe na haki za watetezi wa haki za binadamu
MTANDAO wa watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), wamewaomba Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuingiza katika rasimu ya Katiba mpya suala la ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo waandishi wa habari.