Wafanyakazi TRL wadai nyongeza ya mshahara
WAFANYAKAZI wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) wameanza mgomo baridi wakidai nyongeza ya mishahara kutoka sh 200,000 hadi 300,000 kutokana na kupanda kwa gharama za maisha. Wakizungumza katika mkutano na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Dec
Mutharika ajinyima nyongeza ya mshahara
9 years ago
StarTV13 Nov
Wafanyakazi Tanzania China Friendship Ltd wagoma kwa kutolipwa  mshahara
Wafanyakazi zaidi ya elfu moja wa kiwanda cha Tanzania China Friendship Limited wamegoma kwa lengo la kudai stahili zao mbalimbali ikiwemo madai ya mshahara ambao hawajalipwa tangu mwaka 2008.
Wafanyakazi wa kiwanda hicho ambacho zamani kilijulikana kama kiwanda cha urafiki wamedai kukosa imani na uongozi uliopo kwani mbali na Tanzania kushirikiana na China katika uzalishaji bado matatizo yao hayajapatiwa ufumbuzi.
Wafanyakazi wa kiwanda cha urafiki ambao wamejikusanya mbele ya ofisi...
10 years ago
Habarileo04 Apr
Wafanyakazi wanaohujumu TRL kukiona
CHAMA cha Wafanyakazi wa Reli nchini (TRL) kimesema hakitokuwa tayari kumtetea mtu yeyote, atakayefanya vitendo vya ubadhirifu na kuihujumu Kampuni ya Reli nchini (TRL).
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Bunga la #Katiba: Wafanyakazi wadai haki ya kugoma
9 years ago
StarTV27 Nov
Wafanyakazi wa TRL waiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya malimbikizo
Wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa malipo ya malimbikizo ya mshahara wao wa miezi mitano wanaoudai uongozi wa kampuni hiyo.
Wafanyakazi wa kampuni hiyo wametishia kwenda Ikulu kumuona Rais John Magufuli iwapo hawatolipwa malimbikizo ya jumla ya Shilingi Bilioni 2.4 ya kuanzia Julai hadi Novemba 2014.
Wafanyakazi hao wa Kampuni ya Reli nchini waliimba wimbo wa mshikamano baada ya uongozi wa kampuni kuondoka katika mkutano baina yao...
11 years ago
Habarileo02 Mar
Ikulu yakanusha nyongeza ya posho
RAIS Jakaya Kikwete hajaongeza posho kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Sh 300,000 za sasa na kueleza kuwa hajawahi kupokea maombi ya nyongeza ya posho hiyo.
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Msola alilia nyongeza ya bajeti
SERIKALI imetakiwa kuongeza kiwango cha bajeti kinachotengwa kwenye utafiti kwa lengo la kukuza uchumi na maendeleo ya taifa. Hayo yalisema mjini hapa juzi na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Nyongeza ya posho yagonga mwamba
10 years ago
Mtanzania02 May
TUCTA yadai nyongeza ya mishahara
Na John Maduhu, Mwanza
SHIRIKISHO la Vyama Vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), limeitaka Serikali kuhakikisha inaongeza kima cha chini cha mshahara ili kuwawezesha wafanyakazi kujikimu kimaisha.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Nicolaus Mgaya, wakati akisoma risala ya wafanyakazi mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani, iliyofanyika kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.
Mgaya alisema...