Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wanaohujumu TRL kukiona

CHAMA cha Wafanyakazi wa Reli nchini (TRL) kimesema hakitokuwa tayari kumtetea mtu yeyote, atakayefanya vitendo vya ubadhirifu na kuihujumu Kampuni ya Reli nchini (TRL).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi TRL wadai nyongeza ya mshahara

WAFANYAKAZI wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) wameanza mgomo baridi wakidai nyongeza ya mishahara kutoka sh 200,000 hadi 300,000 kutokana na kupanda kwa gharama za maisha. Wakizungumza katika mkutano na...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyakazi wa TRL waiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya malimbikizo

Wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa malipo ya malimbikizo ya mshahara wao wa miezi mitano wanaoudai uongozi wa kampuni hiyo.

Wafanyakazi wa kampuni hiyo wametishia kwenda Ikulu kumuona Rais John Magufuli iwapo hawatolipwa malimbikizo ya jumla ya Shilingi Bilioni 2.4 ya kuanzia Julai hadi Novemba 2014.

Wafanyakazi hao wa Kampuni ya Reli nchini waliimba wimbo wa mshikamano baada ya uongozi wa kampuni kuondoka katika mkutano baina yao...

 

11 years ago

Habarileo

Wanaohujumu NHIF waburuzwa kortini

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis MdeeMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umesema kuanzia mwaka jana hadi kufikia sasa, kuna kesi 18 zinazoendelea katika mahakama mbalimbali nchini zinazotokana na ukiukwaji wa utaratibu wa kujumuisha wategemezi katika kupata huduma za matibabu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kanisa lakemea wanaohujumu Katiba mpya

KANISA la Moravian Tanzania Jimbo la Misheni Mashariki, limesema wapo watu wanaojitahidi kutumia pesa na hoja za uongo ili kuwajaza hofu Watanzania kuhusiana na Katiba mpya. Katibu Mkuu wa kanisa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mama Samia Suluhu: Wanaohujumu wakulima tutawashughulikia

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Kata ya Mabama, Jimbo la Sikonge Tabora.

IMG_0037

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwapongeza mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Sikonge, George Kakunda na aliyekuwa mpinzani wake katika kura za maoni, Said Nkumba (kukia) baada ya kumaliza tofauti zao na kuunda timu ya ushindi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Bilal: Wanaohujumu miundombinu nchini wachukuliwe hatua za kisheria

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amesema watu wanaobainika kuhujumu miundombinu inayowekezwa nchini wachukuliwe hatua kali bila kujali wadhifa au kazi zao.

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA CHUO CHA UTALII NCHINI WAUNDA BARAZA LA WAFANYAKAZI.


Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Said Msambachi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania, uliofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa niaba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Adelhe Meru.  Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani,  Rosada Musoma akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo cha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi washerehekea vema siku ya wafanyakazi Duniani jijini Dar

DSC_0566

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0576

Sehemu ya Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi, wakikimbia katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa,jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0577

Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi wakitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani