Wafanyakazi Strabag waendelea kugoma
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya ujenzi ya Strabag, wameingia siku ya pili ya mgomo wao huku wakishinikiza kulipwa marupurupu mbalimbali, wanayoyadai kwa zaidi ya miezi saba hadi sasa. Awali, wakizungumza nje ya ofisi za kampuni hiyo zilizopo Ubungo jijini Dar es Salaam juzi, wafanyakazi hao wanaojenga barabara za mabasi yaendayo kasi chini ya Mradi wa DART, walisema walifikia hatua ya kugoma kwa madai ya kuona wanazungushwa kupewa marupurupu hayo huku wakihofu muda uliobaki kwa kampuni hiyo kabla...
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Wafanyakazi wa Strabag waendelea na mgomo
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Wanafunzi Chuo Kikuu Kampala waendelea kugoma
Jonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
WANAFUNZI wa Kitivo cha Sayansi ya Afya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) wameendelea kugoma kwa kufunga lango kuu la chuo hicho kuuzuia uongozi kuingia au kutoka hadi malalamiko yao yatakapopatiwa ufumbuzi.
Kwa mujibu wa wanafunzi hao, tangu waanze mgomo Aprili 10 mwaka huu, uongozi wa chuo hicho haujataka kuwasikiliza.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, wanafunzi wa chuo hicho waliainisha madai takriban saba wakidai ni ya muda mrefu.
“Tumegoma kwa sababu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6bDoFS8A-qAvljAXmE9202WXKpQpeJW9dakFZpkrv-Fw*ehAvaiPICbMIG1F5qSZh3f5952QYl0SxG7hQuKLLbg/BREAKINGNEWS.gif)
WAFANYAKAZI STRABAG WAGOMA:
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Wafanyakazi Strabag warejea kazini
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka ya Strabag (BRT) waliokuwa wamegoma kwa siku nane mfululizo, wametii agizo la Menejimenti ya kampuni hiyo na...
11 years ago
GPL28 Apr
MGOMO WA WAFANYAKAZI WA STRABAG LEO
...
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Wafanyakazi Strabag wagoma kwa kubaguliwa
WAFANYAKAZI wa Kampuni inayojihusisha na ujenzi wa barabara ya mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) ya Strabag, jana wamegoma kufanya kazi kutokana na kubaguliwa katika malipo ya stahili na posho....
10 years ago
Habarileo11 Jan
Wafanyakazi Tazara kugoma
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) kupitia Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (Trawu) wameazimia kuanza mgomo leo wakidai Serikali Sh bilioni 12.5 huku wakisitisha huduma za usafiri wa treni zote za mamlaka hiyo.
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Wafanyakazi Chemba watishia kugoma
WAFANYAKAZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wanakusudia kugoma kufanya kazi baada ya serikali wilayani humo kuzuia mishahara yao kwa miezi mitatu sasa kwa madai ya kutochangia sh...
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Wafanyakazi Tazara Mbeya kugoma
ZAIDI ya wafanyakzi 1,000 wa Shirika la Reli Tanzania na Zambia (Tazara), mkoani hapa wametishia kugoma kuendelea na kazi iwapo serikali haitawalipa malimbikizo ya mishahara yao ya miezi mitano. Wakizungumza...