Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGOMO WA WAFANYAKAZI WA STRABAG LEO

WAFANYAKAZI wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi ‘STRABAG’ iliyopo maeneo ya Ubungo jijini Dar, leo asubuhi wameingia katika mgomo wakipinga uongozi wa kampuni hiyo kuwalipa mishahara midogo wafanyakazi wake na kuondolewa posho zao za wiki na mwisho kabisa wakipinga suala la kutopewa ajira kwa vibarua waliofanya kazi kwa muda mrefu katika kampuni hiyo.

...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi wa Strabag waendelea na mgomo

Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya Strabag, inayotekeleza mradi wa mabasi ya kasi, Dart, wameendelea na mgomo ulioanza juzi kushinikiza uongozi uwalipe malimbikizo ya posho zao za takriban miezi saba.

 

11 years ago

GPL

MGOMO WA STRABAG WAMALIZIKA KINYEMELA, KAZI ‘KAMA KAWA’

Mafundi wakiendelea na ujenzi wa daraja la Ubungo.
Caterpillar likifanya kazi maeneo ya Kanisa - Kinondoni.
Muonekanao wa moja ya vituo vya mabasi yaendayo kasi eneo la Ubungo.…

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI STRABAG WAGOMA:

Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya Strabag inayojenga barabara zitakazotumiwa na mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam (Dart), wamegoma kufanya kazi wakishinikiza kuongezewa maslahi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Strabag warejea kazini

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka  ya Strabag (BRT) waliokuwa wamegoma kwa siku nane  mfululizo, wametii  agizo la Menejimenti ya kampuni hiyo na...

 

11 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Strabag waendelea kugoma

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya ujenzi ya Strabag, wameingia siku ya pili ya mgomo wao huku wakishinikiza kulipwa marupurupu mbalimbali, wanayoyadai kwa zaidi ya miezi saba hadi sasa. Awali, wakizungumza nje ya ofisi za kampuni hiyo zilizopo Ubungo jijini Dar es Salaam juzi, wafanyakazi hao wanaojenga barabara za mabasi yaendayo kasi chini ya Mradi wa DART, walisema walifikia hatua ya kugoma kwa madai ya kuona wanazungushwa kupewa marupurupu hayo huku wakihofu muda uliobaki kwa kampuni hiyo kabla...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Strabag wagoma kwa kubaguliwa

WAFANYAKAZI wa Kampuni inayojihusisha  na  ujenzi wa barabara ya  mradi wa mabasi  yaendayo haraka (BRT)  ya Strabag, jana wamegoma kufanya kazi kutokana na kubaguliwa katika malipo  ya stahili  na posho....

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi NatOil wasitisha mgomo

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Mafuta ya National Oil (NatOil), wameitisha mgomo usio na kikomo wakishinikiza kukutana na mmiliki wa kampuni hiyo kutoa malalamiko wanayodai yameshindwa kufanyiwa kazi na uongozi uliopo.

 

10 years ago

Michuzi

Madereva waendelea na Mgomo wao leo

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwa katika majadiliano na Maafisa wa Jeshi la Polisi juu ya namna ya kuumaliza mgomo wa Madereva wa Mabasi katika stendi kuu ya Ubungo, Jijini Dar es salaam leo. Hapo wanasubiriwa viongozi wa Madereva hao.Hali ilivyo Stendi Kuu ya Mabasi, Ubungo jijini Dar hivi sasa. hakuna basi lililoweza kuondoka siku ya leo.
Kikao cha nje kikiendelea.
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto) akiambatana na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani