Wafanyakazi Tazara waburuzwa kortini
MAMLAKA ya Reli la Tanzania na Zambia (Tazara) imewashitaki Mahakama Kuu wafanyakazi wake waliokuwa wamegoma, wakishinikiza kulipwa fedha zao za mishahara.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Jan
Waliogoma Tazara waburuzwa kortini
WAKATI mgomo wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ukiingia katika siku ya tano leo, menejimenti ya mamlaka hiyo imewashitaki Mahakama ya Kazi wafanyakazi wote waliogoma, kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitano.
10 years ago
Habarileo16 Jan
Wafanyakazi Tazara wasota kortini kusubiri hukumu
SAKATA la mgomo wa wafanyakazi 1,500 wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ulioingia katika siku ya sita, limechukua sura mpya baada ya wafanyakazi hao waliofunguliwa kesi katika Mahakama ya Kazi, kusota kwa siku nzima wakisubiri hukumu yao.
11 years ago
Habarileo29 Jul
Vigogo IMTU waburuzwa kortini
VIGOGO wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa Cha Tiba na Teknolojia (IMTU), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, wakikabiliwa na mashitaka ya kutupa mifuko 83 yenye miili ya binadamu kinyume cha sheria.
11 years ago
Habarileo04 Jan
Wanaohujumu NHIF waburuzwa kortini
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umesema kuanzia mwaka jana hadi kufikia sasa, kuna kesi 18 zinazoendelea katika mahakama mbalimbali nchini zinazotokana na ukiukwaji wa utaratibu wa kujumuisha wategemezi katika kupata huduma za matibabu.
10 years ago
Habarileo11 Jan
Wafanyakazi Tazara kugoma
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) kupitia Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (Trawu) wameazimia kuanza mgomo leo wakidai Serikali Sh bilioni 12.5 huku wakisitisha huduma za usafiri wa treni zote za mamlaka hiyo.
11 years ago
Habarileo14 May
Wafanyakazi TAZARA wagoma
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wamegoma kufanya kazi kwa kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitatu.
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Wafanyakazi Tazara Mbeya kugoma
ZAIDI ya wafanyakzi 1,000 wa Shirika la Reli Tanzania na Zambia (Tazara), mkoani hapa wametishia kugoma kuendelea na kazi iwapo serikali haitawalipa malimbikizo ya mishahara yao ya miezi mitano. Wakizungumza...
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
TUCTA: Tazara lipeni wafanyakazi
RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Gratian Mukoba ameitaka Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kuwalipa wafanyakazi wake malimbikizo ya mishahara ya miezi mitano ndani ya...
10 years ago
Habarileo10 Sep
Hatimaye wafanyakazi Tazara kimeeleweka
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) wamelipwa mishahara yao ya miezi minne waliyokuwa wakidai .