Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vigogo IMTU waburuzwa kortini

VIGOGO wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa Cha Tiba na Teknolojia (IMTU), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, wakikabiliwa na mashitaka ya kutupa mifuko 83 yenye miili ya binadamu kinyume cha sheria.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanaohujumu NHIF waburuzwa kortini

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis MdeeMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umesema kuanzia mwaka jana hadi kufikia sasa, kuna kesi 18 zinazoendelea katika mahakama mbalimbali nchini zinazotokana na ukiukwaji wa utaratibu wa kujumuisha wategemezi katika kupata huduma za matibabu.

 

11 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Tazara waburuzwa kortini

MAMLAKA ya Reli la Tanzania na Zambia (Tazara) imewashitaki Mahakama Kuu wafanyakazi wake waliokuwa wamegoma, wakishinikiza kulipwa fedha zao za mishahara.

 

10 years ago

Habarileo

Waliogoma Tazara waburuzwa kortini

Makao Makuu ya tazara, Dar es SalaamWAKATI mgomo wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ukiingia katika siku ya tano leo, menejimenti ya mamlaka hiyo imewashitaki Mahakama ya Kazi wafanyakazi wote waliogoma, kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitano.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vigogo wengine wa Uamsho wafikishwa kortini

VIONGOZI wengine wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Mselem Ally Mselem na Abdallah Said Alli Sheikh (Madawa), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar...

 

10 years ago

Mwananchi

Vigogo kortini kwa upotevu wa Sh1.3 bilioni

Watuhumiwa sita katika kashfa ya upotevu wa zaidi ya Sh1.3 bilioni kati ya Sh1.5 bilioni zilizotolewa na Wizara ya Chakula, Kilimo na Ushirika kwa ajili ya usambazaji wa pembejeo za kilimo wilayani hapa juzi walipandishwa kizimbani kujibu tuhuma hizo.

 

9 years ago

Mwananchi

Vigogo TAA kortini, wadaiwa kusafirisha meno ya tembo

Maofisa usalama wanne wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne likiwamo la kuchora michoro ya kihalifu ya kusafirisha nyara za Serikali zenye thamani ya Sh267.4 milioni na matumizi mabaya ya madaraka.

 

11 years ago

Habarileo

Madaktari waikaanga IMTU

Rais wa MAT, Dk Primus SaidiaCHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT) kimesema Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) sanjari na hospitali iliyo chini yake, vinastahili kufungiwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Udahili IMTU wasitishwa

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesitisha udahili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2014/2015 katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU), na kukipa notisi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Hospitali IMTU kufunguliwa

UONGOZI wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU) umesema hospitali hiyo inatarajia kufunguliwa mwishoni mwa mwezi ujao. Kufunguliwa kwake kunatokana na kukamilika kwa marekebisho ya upungufu uliokuwepo awali yaliyosababisha hospitali hiyo kufungiwa kwa muda usiojulikana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani