Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliogoma Tazara waburuzwa kortini

Makao Makuu ya tazara, Dar es SalaamWAKATI mgomo wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ukiingia katika siku ya tano leo, menejimenti ya mamlaka hiyo imewashitaki Mahakama ya Kazi wafanyakazi wote waliogoma, kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitano.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Tazara waburuzwa kortini

MAMLAKA ya Reli la Tanzania na Zambia (Tazara) imewashitaki Mahakama Kuu wafanyakazi wake waliokuwa wamegoma, wakishinikiza kulipwa fedha zao za mishahara.

 

11 years ago

Habarileo

Vigogo IMTU waburuzwa kortini

VIGOGO wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa Cha Tiba na Teknolojia (IMTU), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, wakikabiliwa na mashitaka ya kutupa mifuko 83 yenye miili ya binadamu kinyume cha sheria.

 

11 years ago

Habarileo

Wanaohujumu NHIF waburuzwa kortini

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis MdeeMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umesema kuanzia mwaka jana hadi kufikia sasa, kuna kesi 18 zinazoendelea katika mahakama mbalimbali nchini zinazotokana na ukiukwaji wa utaratibu wa kujumuisha wategemezi katika kupata huduma za matibabu.

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Tazara wasota kortini kusubiri hukumu

SAKATA la mgomo wa wafanyakazi 1,500 wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ulioingia katika siku ya sita, limechukua sura mpya baada ya wafanyakazi hao waliofunguliwa kesi katika Mahakama ya Kazi, kusota kwa siku nzima wakisubiri hukumu yao.

 

11 years ago

Habarileo

Kinana atuliza wakandarasi waliogoma

KATIBU Mkuu wa Chama Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amefanikiwa kuwarejesha kazini wakandarasi waliogoma kufanya kazi ya ujenzi wa barabara za Mkoa wa Rukwa, kutokana na kutolipwa fedha za ujenzi kwa wakati. Wakandarasi hao waligoma kutokana na kile kinachoelezwa Serikali kuchelewa kuwalipa fedha zao, hali iliyowafanya waondoe vifaa vyao na kusimama kwa kazi ya ujenzi na kusababisha usumbufu kwa wakazi wa mkoa huo kutokana na ubovu wa barabara hizo.

 

10 years ago

Vijimambo

HAYA NDIO MADAI YA MADEEVA WALIOGOMA

Madai hayo ni pamoja na kupewa mikataba bora ya ajira, ambayo itahusisha utaratibu wa ulipwaji wa mishahara ili kuisaidia serikali kukusanya kodi tofauti na ulipwaji wa posho ambao unatumika sasa kupitia huduma za kibenki yazinayotolewa kupitia simu za mikononi.
Wanadai utaratibu huo wa sasa umekuwa ukiwafanya wadhalilike kwa kulipiwa na abiria chakula na kinywaji mahotelini wanapokuwa safarini.

Mengine ni kupinga uamuzi wa serikali wa kuwataka kurudi chuo kusoma wakidai kuwa hakuna jipya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waislamu waliogoma wafutwa kazi Marekani

Waislamu 200 wanaofanya kazi katika kiwanda kimoja cha nyama Colorado, Marekani wamefutwa kazi baada yao kugoma.

 

10 years ago

GPL

MAMISS ‘VICHWA’ WALIOGOMA KUPOTEA!

Millen Magese. Na Hamida Hassan
LICHA ya fani ya u-miss hapa nchini kughubikwa na changamoto mbalimbali ikiwemo tabia mbaya mbele ya jamii hususan kipindi cha hivi karibuni, lakini baadhi ya washindi na washiriki wa shindano hilo ambao ni vichwa wamejitahidi kusimama thabiti katika mbio za kukimbizana na mafanikio. Wapo wachache walioajiriwa na serikali pamoja na makampuni na mashirika binafsi kutokana na ujuzi wa taaluma zao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tazara yafumuliwa

SHIRIKA la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), limefanyiwa mabadiliko makubwa ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kubadilishana abiria mpakani na kupunguza madaraka makao makuu kuyapeleka mikoani kwa lengo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani