Kinana atuliza wakandarasi waliogoma
KATIBU Mkuu wa Chama Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amefanikiwa kuwarejesha kazini wakandarasi waliogoma kufanya kazi ya ujenzi wa barabara za Mkoa wa Rukwa, kutokana na kutolipwa fedha za ujenzi kwa wakati. Wakandarasi hao waligoma kutokana na kile kinachoelezwa Serikali kuchelewa kuwalipa fedha zao, hali iliyowafanya waondoe vifaa vyao na kusimama kwa kazi ya ujenzi na kusababisha usumbufu kwa wakazi wa mkoa huo kutokana na ubovu wa barabara hizo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Jan
Waliogoma Tazara waburuzwa kortini
WAKATI mgomo wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ukiingia katika siku ya tano leo, menejimenti ya mamlaka hiyo imewashitaki Mahakama ya Kazi wafanyakazi wote waliogoma, kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitano.
9 years ago
BBCSwahili01 Jan
Waislamu waliogoma wafutwa kazi Marekani
10 years ago
VijimamboHAYA NDIO MADAI YA MADEEVA WALIOGOMA
Wanadai utaratibu huo wa sasa umekuwa ukiwafanya wadhalilike kwa kulipiwa na abiria chakula na kinywaji mahotelini wanapokuwa safarini.
Mengine ni kupinga uamuzi wa serikali wa kuwataka kurudi chuo kusoma wakidai kuwa hakuna jipya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP4xp1enfvHD9E9aNTXU8HoQw524VCsPjyuAanyd65loLJlv8PaQ4pwV3mIho3O2S6Du36VPjOex9Y0zBaCnfhff/Millen_Magese31.jpg)
MAMISS ‘VICHWA’ WALIOGOMA KUPOTEA!
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Sserunkuma atuliza mizuka Simba SC
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
DC Songea atuliza vurugu kanisani
MKUU wa Wilaya ya Songea, Joseph Mkilikiti, jana alifanikiwa kutuliza vurugu zilizotaka kuibuka katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Nicolas mjini hapa baada ya kupata taarifa za kuwepo kwa mikakati...
11 years ago
Habarileo29 Mar
Askofu Mtetemela atuliza Bunge
WAKATI dua inayosomwa kabla na baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba inaonekana kutowaingia ipasavyo wajumbe na kujikuta wakitumia muda mwingi kwa malumbano na matumizi ya lugha mbaya, Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Donard Mtetemela juzi jioni alifanikiwa kulituliza Bunge hilo kwa mawaidha aliyoyatoa.
9 years ago
Habarileo18 Sep
Mwambusi atuliza mashabiki Mbeya City
KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuwa na moyo wa subira pale timu hiyo inapopata matokeo mabaya kwenye Ligi Kuu kwa kuwa bado ni mwanzo wa msimu.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-aP4etusL0U0/U65zOYAv64I/AAAAAAAFtT4/BQWDEBNZpxo/s72-c/unnamed+(3).jpg)
OCS MIRERANI ATULIZA WAENDESHA BODABODA WANAOLALAMIKIA KODI
![](http://4.bp.blogspot.com/-aP4etusL0U0/U65zOYAv64I/AAAAAAAFtT4/BQWDEBNZpxo/s1600/unnamed+(3).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-wPJwDJtWpAE/U65zOgunjZI/AAAAAAAFtT8/O9SOc99RsvM/s1600/unnamed+(4).jpg)