Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC Songea atuliza vurugu kanisani

MKUU wa Wilaya ya Songea, Joseph Mkilikiti, jana alifanikiwa kutuliza vurugu zilizotaka kuibuka katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Nicolas mjini hapa baada ya kupata taarifa za kuwepo kwa mikakati...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Askofu Mtetemela atuliza Bunge

WAKATI dua inayosomwa kabla na baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba inaonekana kutowaingia ipasavyo wajumbe na kujikuta wakitumia muda mwingi kwa malumbano na matumizi ya lugha mbaya, Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Donard Mtetemela juzi jioni alifanikiwa kulituliza Bunge hilo kwa mawaidha aliyoyatoa.

 

11 years ago

Habarileo

Kinana atuliza wakandarasi waliogoma

KATIBU Mkuu wa Chama Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amefanikiwa kuwarejesha kazini wakandarasi waliogoma kufanya kazi ya ujenzi wa barabara za Mkoa wa Rukwa, kutokana na kutolipwa fedha za ujenzi kwa wakati. Wakandarasi hao waligoma kutokana na kile kinachoelezwa Serikali kuchelewa kuwalipa fedha zao, hali iliyowafanya waondoe vifaa vyao na kusimama kwa kazi ya ujenzi na kusababisha usumbufu kwa wakazi wa mkoa huo kutokana na ubovu wa barabara hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Sserunkuma atuliza mizuka Simba SC

Simba imewapoza roho mashabiki wake waliokuwa na hasira baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao 2- 1 dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo mkali wa Ligi Kuu Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Mwambusi atuliza mashabiki Mbeya City

KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuwa na moyo wa subira pale timu hiyo inapopata matokeo mabaya kwenye Ligi Kuu kwa kuwa bado ni mwanzo wa msimu.

 

11 years ago

Michuzi

OCS MIRERANI ATULIZA WAENDESHA BODABODA WANAOLALAMIKIA KODI

 Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ASP Lwitiko Norman Kibanda, akizungumza jana na madereva wa pikipiki za kubeba abiria ambao waliandamana hadi kwenye kituo hicho wakipinga kutozwa fedha sh22,000 na maofisa biashara wa wilaya hiyo, waliodai kuwa tozo hizo ni amri ya Mamlaka ya Usafirishari wa vyombo vya usafiri wa majini na nchi kavu (Sumatra)

 

10 years ago

GPL

JB BETHIDEI YANGU NI KANISANI TU!

Stori: Mayasa Mariwata LEGENDARY wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ amesema kuwa, miongoni mwa vitu ambavyo vimemkalia kushoto ni kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kufanya sherehe, yeye siku zote hufanyia kanisani kwa kufanya maombi. Legendary wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ Msanii huyo ambaye siku chache zilizopita alitimiza miaka kadhaa ambayo hakuwa tayari kuiweka wazi, alisema...

 

10 years ago

GPL

MAINDA AGOMBANA KANISANI

Stori: Shani Ramadhani MADAI mazito! Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kugombana na muumini  mwenzake kwenye kanisa analoabudu kwa sasa, Amani  limedokezwa. Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. TUJIUNGE NA MTOA HABARI Kwa mujibu wa chanzo makini, tukio hilo la aina yake lilijiri kwenye kanisa hilo la kiroho lililopo chini ya mchungaji wake aliyetajwa kwa...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WAOMBEWA KANISANI

Stori: Shani Ramadhani na Chande Abdallah VIFO mfululizo vya mastaa wa filamu za Kibongo vinaumiza, vinatisha na vinawanyima usingizi wasanii ambapo sasa wameamua kuitikia wito na kuingia kanisani kuombewa, Risasi Mchanganyiko lina mkoba wenye kila kitu. ...Maombi mazito yakifanyika kwa Dotnata kutoka kwa Mchungaji Mbeyela.  Wasanii waliotangulia mbele za haki kwa kufuatana ni Adam Kuambiana, Sheila Leo Haule...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani