MAMISS ‘VICHWA’ WALIOGOMA KUPOTEA!
![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP4xp1enfvHD9E9aNTXU8HoQw524VCsPjyuAanyd65loLJlv8PaQ4pwV3mIho3O2S6Du36VPjOex9Y0zBaCnfhff/Millen_Magese31.jpg)
Millen Magese. Na Hamida Hassan LICHA ya fani ya u-miss hapa nchini kughubikwa na changamoto mbalimbali ikiwemo tabia mbaya mbele ya jamii hususan kipindi cha hivi karibuni, lakini baadhi ya washindi na washiriki wa shindano hilo ambao ni vichwa wamejitahidi kusimama thabiti katika mbio za kukimbizana na mafanikio. Wapo wachache walioajiriwa na serikali pamoja na makampuni na mashirika binafsi kutokana na ujuzi wa taaluma zao...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Jan
Waliogoma Tazara waburuzwa kortini
WAKATI mgomo wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ukiingia katika siku ya tano leo, menejimenti ya mamlaka hiyo imewashitaki Mahakama ya Kazi wafanyakazi wote waliogoma, kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitano.
11 years ago
Habarileo04 Apr
Kinana atuliza wakandarasi waliogoma
KATIBU Mkuu wa Chama Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amefanikiwa kuwarejesha kazini wakandarasi waliogoma kufanya kazi ya ujenzi wa barabara za Mkoa wa Rukwa, kutokana na kutolipwa fedha za ujenzi kwa wakati. Wakandarasi hao waligoma kutokana na kile kinachoelezwa Serikali kuchelewa kuwalipa fedha zao, hali iliyowafanya waondoe vifaa vyao na kusimama kwa kazi ya ujenzi na kusababisha usumbufu kwa wakazi wa mkoa huo kutokana na ubovu wa barabara hizo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Aaa76ACbkjKbj6spgF6EmzP1s1DSHDGHc9SL7cxProPicrIMZqcI5uGAGplcgexcb1k4jKkLlSZDF4DuFrVFC0gv4PcEG5F*/6.jpg)
MAMISS MORO WAMCHEFUA MEYA WA DAR
10 years ago
VijimamboHAYA NDIO MADAI YA MADEEVA WALIOGOMA
Wanadai utaratibu huo wa sasa umekuwa ukiwafanya wadhalilike kwa kulipiwa na abiria chakula na kinywaji mahotelini wanapokuwa safarini.
Mengine ni kupinga uamuzi wa serikali wa kuwataka kurudi chuo kusoma wakidai kuwa hakuna jipya...
9 years ago
BBCSwahili01 Jan
Waislamu waliogoma wafutwa kazi Marekani
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Achana na headlines za Steve Harvey za Miss Universe, kutana na list ya mastaa kumi wa soka waliowahi kudata kwa mamiss …
Najua headlines za Mashindano ya Miss Universe zimemalizika wiki hii, licha ya kuwa MC wa sherehe hiyo Steve Harvey kumtangaza kimamkosa Miss Colombia Ariadna Gutierrez Arevalo kama mshindi ila baadae alisahisha kosa hilo, mtu wangu wa nguvu December 24 naomba nikusogezee mastaa kumi wa soka waliowahi kudata kwa mamiss. 10- George Best na Mary Stavin Staa wa zamani wa klabu ya […]
The post Achana na headlines za Steve Harvey za Miss Universe, kutana na list ya mastaa kumi wa soka waliowahi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5HpdB4YfG7I/VAFMswYSqKI/AAAAAAAC8mI/JSvVtq8jES4/s72-c/missTZ2014.png)
MISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI
![](http://4.bp.blogspot.com/-5HpdB4YfG7I/VAFMswYSqKI/AAAAAAAC8mI/JSvVtq8jES4/s1600/missTZ2014.png)
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
GPLMISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCzu2eFj4blA7BvGBWrTLsPrrb1eilN8T0pVkKANZFYGzs7*dPI0gfpkzSDxDs6dBkHcxhQA5VmVu-SDdFHoFN-x/False_pregnancy.jpeg?width=650)
KUPOTEA KWA UJAUZITO (PSEUDOCYSIS)