Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMISS MORO WAMCHEFUA MEYA WA DAR

Na Danstan Shekidele/Risasi Mchanganyiko
ONESHO la burudani ya warembo lililoitwa Miss Valentine, lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Vybe mjini hapa kusherehekea siku hiyo ya wapendanao, liligeuka kuwa kichefuchefu mbele ya aliyekuwa mgeni rasmi, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi. Mrembo akipita jukwaani katika onesho la burudani ya warembo lililoitwa Miss Valentine huko Morogoro. Mmoja wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Msafara wa RC Moro wapata ajali, meya na waandishi waumia

Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajabu Rutengwe umepata ajali jana saa 9.30 alasiri eneo la Mizambarauni Darajani barabara kuu ya Dar es Salaam-Morogoro.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanasiasa wamchefua Waziri

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid jana aliziponda kauli za wanasiasa wanaosema wakipata uongozi watafanya elimu, maji, matibabu na hata umeme kuwa wa bure.

 

10 years ago

Habarileo

Simba wamchefua kocha

KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amesema licha ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya SCVilla ya Uganda juzi, hajafurahishwa na kiwango cha wachezaji wake.

 

10 years ago

Vijimambo

MEYA WA KINONDONI, YUSUPH MWENDA ATWAA TUZO YA MEYA BORA AFRIKA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), Hawa Ghasia akikabidhi cheti cha Meya/ Halmashauri Bora katika Bara la Afrika Kundi la Majiji ya Kati (Medium Size Cities) kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda katika hafla iliyo zilizotolewa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa ya Afrika (UCLGA), Dar es Salaam jana.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), Hawa Ghasia akikabidhi Tuzo ya Meya/ Halmashauri Bora katika Bara la...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI ASHINDA TUZO YA MEYA BORA TANZANIA

Rais Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo ya Meya Bora Tanzania kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda baada ya kushinda tuzo hiyo kitaifa iliyoandaliwa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa nchini (ALAT) katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam juzi. Kulia ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Agrey Mwanri.Rais Jakaya Kikwete akizungumza baada ya kukabidhi Tuzo ya Meya Bora Tanzania, Yusuph Mwenda (kulia) baada ya kushinda tuzo hizo zilizoandaliwa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA MWENDA WA KINONDONI ASHINDA TUZO YA MEYA BORA AFRIKA

Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda ameshinda Tuzo ya Meya Bora katika Bara la Afrika katika kundi la Majiji ya Kati na kuyabwaga majiji mengine mbalimbali.
Tuzo hizo zilizoandaliwa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa ya Afrika (The United Cities and Local Government of Africa- UCLGA) na kupewa jina la Rais wa Angola ‘President Jose Eduardo Dos Santos- Africa Mayors Award’ ni za mara ya kwanza kufanyika Barani Afrika.
Tofauti na Tuzo za Tanzania,...

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM yanyakua viti vya Mstahiki Meya na naibu Meya Halmashauri ya Manisspaa ya Singida

IMG_1325

Diwani wa kata ya Mughanga (CCM) manispaa ya Singida, Velerian Kimambo, akiapa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini hapa,Zakaria Simoin. Madiwani 26 wa halmashauri ya manispaa, (16/12/2015), wamekula viapo rasmi tayari kuanza kuwatumikia wananchi.

IMG_1287

Diwani wa kata ya Mitunduruni (CHADEMA) manispaa ya Singida, Velerian Pantaleo Mastiko Sorongai, akiapa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini hapa, Zakaria Simoin. Madiwani 26 wa halmashauri ya manispaa wamekula viapo rasmi tayari...

 

11 years ago

GPL

MEYA SILAA: DAR ITAKUFA

Mwandishi : Elvan Stambuni na Haruni Sanchawa MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa amesema ikiwa Halmashauri ya Jiji haitapewa fedha za kutosha na serikali kuu basi Dar itakufa. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa akifafanua jambo ndani ya chumba cha habari cha Global Publishers, Mwenge, Bamaga jijini Dar. Akizungumza na waandishi wa habari katika safu ya Live Chumba cha Habari na Global TV On Line, Bamaga Mwenge,...

 

10 years ago

GPL

MAMISS ‘VICHWA’ WALIOGOMA KUPOTEA!

Millen Magese. Na Hamida Hassan
LICHA ya fani ya u-miss hapa nchini kughubikwa na changamoto mbalimbali ikiwemo tabia mbaya mbele ya jamii hususan kipindi cha hivi karibuni, lakini baadhi ya washindi na washiriki wa shindano hilo ambao ni vichwa wamejitahidi kusimama thabiti katika mbio za kukimbizana na mafanikio. Wapo wachache walioajiriwa na serikali pamoja na makampuni na mashirika binafsi kutokana na ujuzi wa taaluma zao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani