Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yanyakua viti vya Mstahiki Meya na naibu Meya Halmashauri ya Manisspaa ya Singida

IMG_1325

Diwani wa kata ya Mughanga (CCM) manispaa ya Singida, Velerian Kimambo, akiapa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini hapa,Zakaria Simoin. Madiwani 26 wa halmashauri ya manispaa, (16/12/2015), wamekula viapo rasmi tayari kuanza kuwatumikia wananchi.

IMG_1287

Diwani wa kata ya Mitunduruni (CHADEMA) manispaa ya Singida, Velerian Pantaleo Mastiko Sorongai, akiapa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini hapa, Zakaria Simoin. Madiwani 26 wa halmashauri ya manispaa wamekula viapo rasmi tayari...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

CCM Singida yazoa viti vyote vya Halmashauri ya Ikungi na Mkalama

IMG_1029

Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku, akitoa tamko la kukanusha mbele ya waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) taarifa zinazoenezwa kwamba CCM mkoa ilikata jina la mgombea nafasi ya Mwenyekiti halmashauri ya wilaya ya Mkalama, kutokana na ulemavu wake wa miguu. Kulia ni Katibu msaidizi CCM mkoa wa Singida, Adamu.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Singida, kimekanusha vikali uzushi unaoenezwa kwamba kilikata jina la mgombea nafasi...

 

10 years ago

Habarileo

Meya atabiri CCM kuzoa viti vingi serikali za mitaa

MEYA wa Manispaa ya Ilemela, Henry Matata amekitabiria Chama Cha Mapinduzi (CCM) ushindi katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Desemba 14, mwaka huu baada ya wananchi kubaini viongozi waliowaweka katika uchaguzi uliopita hawawajibiki ipasavyo.

 

10 years ago

Michuzi

MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI AKABIDHI ZAWADI ZA PASAKA KWA YATIMA

NA MWANDISHI WETU,MEYA wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda amekabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vyenya thamani ya shilingi milioni 2.5 kwa vikundi vitatu vya kulea watoto yatima, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Pasaka.
Akikabidhi msaada huo Meya Yusuph Mwenda aliwataka watanzania kuwa na moyo wa kusaidia watoto hao hususan katika msimu wa Sikukuu ikiwa ni njia mojawapo ya kuwafariji watoto hao.
“Hakuna anayependa kuona watoto hawa wanaongezeka mitaani, Na...

 

5 years ago

Michuzi

MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA ILALA APIGA JEKI SHULE YA SEKONDARI YA VINGUNGUTI


MSTAHIKI Meya Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto amefanya Ziara yake ya kikazi katika shule ya Sekondari Vingunguti, katika Ziara hiyo Mstahiki Meya aliambatana na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Vingunguti pamoja na Wajumbe wa Mashina.
Lengo la ziara hiyo ni  kukagua Ujenzi wa Madarasa Manne yanajengwa katika shule hiyo. Mstahiki aliwapongeza Walimu wa Shule hiyo ya Sekondari Vingunguti kwa usimamizi wa Ujenzi wa Madarasa hayo manne.
Uongozi wa Shule hiyo ulimpongeza Mstahiki...

 

11 years ago

Michuzi

Mstahiki Meya wa Ilala Mhe Jerry Slaa aanda futari kwa wadau mbalimbali

 Waalikwa wakipakua futari iliyoandaliwa na Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa katika ukumbi wa Arnatouglou jijini Dar es salaam siku ya Jumanne Julai 22, 2014 ambapo wadau kutoka sehemu mbalimbali walihudhuria.  Kina mama walikuwepo pia Wadau mbalimbali walihudhuria Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akitoa neno la shukuraniMstahiki Meya wa Ilala alitoa zawadi kwa kila mgeni aliyealikwa. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Mstahiki Meya wa Ilala Jerry Silaa ashusha neema kwa shule ya msingi Kivule‏‎

Meza kuu ikiwa imepambwa na viongozi mbalimbali kwaajili ya kupokea msaada wa madawati.

Meya wa manispaa ya  Ilala Jerry silaa akabidhi msaada wa madawati mia moja katika shule ya msingi kivule iliyopo jijini dar es salaam ikiwa ni mpango aliouanzisha na kuanza kuutekeleza kupitia (Mayors Ball) katika mpango huo madawati hayo yamekabidhiwa kwa mwalimu mkuu wa shue hiyo pamoja na diwani wa kata ya kivule na afisa elimu wa manispaa ya ilala walikuwepo katika shuguli hiyo ya kupokea msaada...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: hackers waiba akaunti ya facebook ya meya wa ilala Mstahiki Jerry Silaa leo

Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya facebook ime-hackiwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri.
Tafadhali puuzia ujumbe huo kwani utasababisha akaunti yako nayo ku-hackiwa. Tafadhali sambaza ujumbe huu, wakati tunaendelea kujaribu kuiokoa. Nawaomba radhi wote walopatwa na usumbufu huu.
Asanteni sana - Jerry Silaa

 

10 years ago

GPL

MSTAHIKI MEYA WA ILALA JERRY SILAA ASHUSHA NEEMA KWA SHULE YA MSINGI KIVULE‏‎

Mstahiki Jerry Silaa meya wa Ilala akimkabidhi msaada huo wa madawati mia moja (100) mwalimu mkuu wa shule ya msingi kivule Mstahiki Jerry Silaa meya wa Ilala akipeana mkono wa shukrani na mratibu Bw.Mkami Sudayi…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani