Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Meya atabiri CCM kuzoa viti vingi serikali za mitaa

MEYA wa Manispaa ya Ilemela, Henry Matata amekitabiria Chama Cha Mapinduzi (CCM) ushindi katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Desemba 14, mwaka huu baada ya wananchi kubaini viongozi waliowaweka katika uchaguzi uliopita hawawajibiki ipasavyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

CCM ‘yapoteza’ viti 2,600 Serikali za Mitaa

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imetangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa Serikali za mitaa nchi nzima yanayoonyesha kuimarika kwa upinzani.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete alaumiwa CCM kupoteza viti Uchaguzi Serikali za Mitaa

Rais Jakaya Kikwete, ametupiwa lawama na makada wa CCM kwa kusababisha kushindwa CCM viti vingi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, kutokana kuchelewa kutoa maamuzi juu ya sakata la wizi wa Tsh 306 bilioni katika akaunti ya  Tegeta Escrow.

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM yanyakua viti vya Mstahiki Meya na naibu Meya Halmashauri ya Manisspaa ya Singida

IMG_1325

Diwani wa kata ya Mughanga (CCM) manispaa ya Singida, Velerian Kimambo, akiapa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini hapa,Zakaria Simoin. Madiwani 26 wa halmashauri ya manispaa, (16/12/2015), wamekula viapo rasmi tayari kuanza kuwatumikia wananchi.

IMG_1287

Diwani wa kata ya Mitunduruni (CHADEMA) manispaa ya Singida, Velerian Pantaleo Mastiko Sorongai, akiapa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini hapa, Zakaria Simoin. Madiwani 26 wa halmashauri ya manispaa wamekula viapo rasmi tayari...

 

10 years ago

Vijimambo

CCM YAWASAMBARATISHA UKAWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, YAZOA MAELFU YA VITI BILA KUPIGWA

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM baada ya kuwasili katika mkutano wa kufunga kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa za Jimbo la Ilala, Dar es Salaam, leo jioniWana CCM wakimshangilia Nape alipowasili kwenye mkutano huoWananchi wakimshangilia Nape alipowasili kwenye mkutano huoNape akiwa Jukwaa Kuu pamoja na viongozi wa CCM baada ya kuwasili kwenye mkutano huoLwiza Mbutu akiongoza bendi ya Twanga Pepeta kutumbuiza baada ya kuwasili Nape...

 

10 years ago

Michuzi

CCM YAWASAMBARATISHA UKAWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA DAR, YAZOA MAELFU YA VITI BILA KUPIGWA

Na Bashir Nkoromo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika uchaguzi wa serikali za mitaa kesho, kikiwa kimeshajizolea maelfu ya nafasi ambazo wagombea wake wamepita bila kupingwa.  Akihutubia kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi huo, katika Mtaa wa Mtambani B, Kata ya Jangwani, jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alisema, kulingana na takwimu CCM imepita bila kupingwa katika vijiji 2708, mitaa 644, na vitongoji zaidi ya...

 

5 years ago

Michuzi

NIDA ILALA YASEMA IMEPELEKA VITAMBULISHO VINGI SERIKALI ZA MITAA.


Kaimu Msajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Wilaya ya Ilala Bi Zulfa Mnyika akimuonyesha Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Hifadhi Hati wa NIDA Bw. Geofrey Tengeneza baadhi ya vitambulisho ambavyo vilivyopokelewa katika ofisi hiyo kutoka kituo cha kuzalisha vitambulisho kilichoko Kibaha.Baadhi ya wananchi wakipatiwa huduma ya usajili kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa katika moja ya ofisi za usajili za wilaya.****************************Na. Hadija MaloyaIdadi kubwa ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chama cha Mapinduzi chazoa viti vyote serikali za mitaa manispaa ya Singida

MANISPAA

Mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina akitoa taarifa ya matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji na vijijini manispaa ya Singida. (picha na maktaba).

Na Nathaniel Limu, Singida

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) manispaa ya Singida,imeibuka kidedea baada ya kuzoa nafasi zote 50 za uenyeviti wa mitaa, sawa na aslimia mia moja kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika juzi.

Hayo yamesemwa na msimamiziwa uchaguzi huo manispaa ya Singida, Joseph Mchina,wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani