Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanasiasa wamchefua Waziri

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid jana aliziponda kauli za wanasiasa wanaosema wakipata uongozi watafanya elimu, maji, matibabu na hata umeme kuwa wa bure.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

VISHOKA UHAMIAJI WAMCHEFUA WAZIRI SIMBACHAWENE, WASAKWE POPOTE WALIPO

   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Watendaji Wakuu wa Idara ya Uhamiaji Nchini, katika ukumbi wa mikutano wa Idara hilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewataka Watendaji hao wawakikishe wanawakamata mawakala wa huduma za Uhamiaji (Vishoka), ambao wanawatapeli wananchi wakijitambulisha ni maafisa uhamiaji katika maeneo mbalimbali nchini. Pia aliwataka viongozi hao kutenda haki katika mchakato wa utoaji wa uraia. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani...

 

10 years ago

Habarileo

Simba wamchefua kocha

KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amesema licha ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya SCVilla ya Uganda juzi, hajafurahishwa na kiwango cha wachezaji wake.

 

10 years ago

GPL

MAMISS MORO WAMCHEFUA MEYA WA DAR

Na Danstan Shekidele/Risasi Mchanganyiko
ONESHO la burudani ya warembo lililoitwa Miss Valentine, lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Vybe mjini hapa kusherehekea siku hiyo ya wapendanao, liligeuka kuwa kichefuchefu mbele ya aliyekuwa mgeni rasmi, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi. Mrembo akipita jukwaani katika onesho la burudani ya warembo lililoitwa Miss Valentine huko Morogoro. Mmoja wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Uuzwaji ardhi kinyemela jimboni Monduli wamchefua Lowassa

Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa ameagiza kuondolewa madarakani mara moja viongozi Serikali za vijiji watakaobainika, kuuza ardhi za vijiji “kinyemela”, katika Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani