Uuzwaji ardhi kinyemela jimboni Monduli wamchefua Lowassa
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa ameagiza kuondolewa madarakani mara moja viongozi Serikali za vijiji watakaobainika, kuuza ardhi za vijiji “kinyemelaâ€, katika Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Oct
Lowassa: Ardhi ajenda Uchaguzi Mkuu Monduli
WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema ajenda kuu katika uchaguzi ujao katika Jimbo la Monduli wilayani Monduli mkoani Arusha ni migogoro ya ardhi na hana uhakika kama viongozi wa vijiji waliojiingiza katika migogoro hiyo watarudi madarakani.
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Mwekezaji auza ardhi kinyemela Arumeru
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-meZF6Zbf2l4/VRf9lJzpmLI/AAAAAAADRrI/NoRTgYkCxz4/s72-c/sdgds.jpg)
WANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-meZF6Zbf2l4/VRf9lJzpmLI/AAAAAAADRrI/NoRTgYkCxz4/s1600/sdgds.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-aerxu2mR3I8/VRf9hYkX_yI/AAAAAAADRq4/drpO59LINgM/s1600/gdg.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-7d208KxBnPM/VOMXylpleqI/AAAAAAAHEJE/j1o1gvx-s6g/s72-c/unnamed%2B%286%29.jpg)
WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-7d208KxBnPM/VOMXylpleqI/AAAAAAAHEJE/j1o1gvx-s6g/s1600/unnamed%2B%286%29.jpg)
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.
![](http://3.bp.blogspot.com/-aML6rKdYyVk/VOMXyAIZMII/AAAAAAAHEI8/amgUR-5jNcM/s640/unnamed%2B%285%29.jpg)
9 years ago
TheCitizen06 Oct
Lowassa gets hero’s welcome in Monduli
11 years ago
Habarileo22 Jun
Madiwani Monduli wamsikitisha Lowassa
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa ameelezea kusikitishwa kwake na utendaji usioridhisha wa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, akitolea mfano kushindwa kutekeleza maamuzi ya vikao vya Baraza la Madiwani.
10 years ago
Habarileo19 Jul
Lowassa awekwa mtu kati Monduli
WAKATI wakongwe wa siasa wakimhadharisha aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kutofuata mashabiki wanaomtaka ahame CCM ambako amelelewa na ndiko anakoheshimika, madiwani 20 wa chama hicho katika Jimbo la Monduli, wamejiunga na Chadema.
11 years ago
MichuziLowassa akagua ujenzi wa hospital Monduli