Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani Monduli wamsikitisha Lowassa

MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa ameelezea kusikitishwa kwake na utendaji usioridhisha wa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, akitolea mfano kushindwa kutekeleza maamuzi ya vikao vya Baraza la Madiwani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO

Akizungumza na waandishi wa habari aliyekuwa katibu wa umoja wa wanawake wa {UWT} chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Anna Mathayo Chacha alisema kuwa lowasa  ndie chaguo lao kwa kuwa ni kiongoziwanayeamini kuwa ataivusha nchi kutoka hapa ilipo ikiwa ni pamoja na kukipa heshima  na nguvu chama.Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Daniel Kegocha ambaye pia ni diwani aliomba chama hicho kuona umuhimu wa kumpitisha jina la Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.

 Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea. 
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule...

 

10 years ago

Habarileo

Madiwani 10 Monduli watetea nafasi CCM

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.MADIWANI 10 kati ya 15 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata za wilaya ya Monduli mkoani Arusha, waliodaiwa kukihama chama hicho, wamechukua fomu za kutetea nafasi zao kwa tiketi ya CCM na kuzirejesha.

 

9 years ago

TheCitizen

Lowassa gets hero’s welcome in Monduli

Police and other security officers had a difficult time to control hundreds of thousands of Monduli residents who turned out at Police grounds here to welcome Chadema presidential candidate, Mr Edward Lowassa for a campaign rally in his home constituency.

 

11 years ago

Michuzi

Lowassa akagua ujenzi wa hospital Monduli

 Mhandisi msaidizi Paul Kisesa  akieleza jambo kwa Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa wakati alipokwenda ghafla jana kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani Monduli.Lowassa ameelezea kutofurahishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa hospitali hiyo ambayo itakuwa na vifaa vya kisasa Mh Edward Lowassa akiendelea kufanya ukaguzi alipokwenda ghafla jana kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani Monduli.Lowassa ameelezea kutofurahishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa awekwa mtu kati Monduli

Kiongozi wa madiwani 19 wa ccm,  Julius KalangaWAKATI wakongwe wa siasa wakimhadharisha aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kutofuata mashabiki wanaomtaka ahame CCM ambako amelelewa na ndiko anakoheshimika, madiwani 20 wa chama hicho katika Jimbo la Monduli, wamejiunga na Chadema.

 

11 years ago

GPL

LOWASSA ASHIRIKI MAZISHI YA KADA WA CCM MONDULI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu David Pelo Kivuyo aliyekuwa Diwani wa zamani wa Makuyuni. Marehemu Pelo, ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli, alifariki tarehe 22 Desemba mwaka huu na kuzikwa nyumbani kwake Makuyuni jana Desemba 28. Alifariki kutokana na maradhi ya shinikizo la damu. ...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa azindua bwawa kubwa la maji Monduli

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akifungua kibambaa kuashiria uzinduzi wa bwawa kubwa la maji la Leken katika kata ya Seleli wilayani Monduli leo Ijumaa Juni 06,2014.Bwawa hilo ambalo limegharimu kiasi Cha shilingi bilioni moja unusu, lina ukubwa wa kilomita tatu. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza mara baada ya kufungua Bwawa hilo. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani