Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa gets hero’s welcome in Monduli

Police and other security officers had a difficult time to control hundreds of thousands of Monduli residents who turned out at Police grounds here to welcome Chadema presidential candidate, Mr Edward Lowassa for a campaign rally in his home constituency.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO

Akizungumza na waandishi wa habari aliyekuwa katibu wa umoja wa wanawake wa {UWT} chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Anna Mathayo Chacha alisema kuwa lowasa  ndie chaguo lao kwa kuwa ni kiongoziwanayeamini kuwa ataivusha nchi kutoka hapa ilipo ikiwa ni pamoja na kukipa heshima  na nguvu chama.Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Daniel Kegocha ambaye pia ni diwani aliomba chama hicho kuona umuhimu wa kumpitisha jina la Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.

 Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea. 
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule...

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani Monduli wamsikitisha Lowassa

MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa ameelezea kusikitishwa kwake na utendaji usioridhisha wa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, akitolea mfano kushindwa kutekeleza maamuzi ya vikao vya Baraza la Madiwani.

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa awekwa mtu kati Monduli

Kiongozi wa madiwani 19 wa ccm,  Julius KalangaWAKATI wakongwe wa siasa wakimhadharisha aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kutofuata mashabiki wanaomtaka ahame CCM ambako amelelewa na ndiko anakoheshimika, madiwani 20 wa chama hicho katika Jimbo la Monduli, wamejiunga na Chadema.

 

11 years ago

Michuzi

Lowassa akagua ujenzi wa hospital Monduli

 Mhandisi msaidizi Paul Kisesa  akieleza jambo kwa Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa wakati alipokwenda ghafla jana kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani Monduli.Lowassa ameelezea kutofurahishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa hospitali hiyo ambayo itakuwa na vifaa vya kisasa Mh Edward Lowassa akiendelea kufanya ukaguzi alipokwenda ghafla jana kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani Monduli.Lowassa ameelezea kutofurahishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa amsifu JK kumaliza tatizo la maji Monduli

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amezindua mradi wa maji wa Bwawa la Leken katika Kijiji cha Selela uliogharimu Sh1.1 bilioni, huku akiupongeza uongozi wa Rais Jayaka Kikwete kwa kusaidia kuondoa tatizo hilo kwa binadamu na mifugo wilayani hapa.

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa: Walimu Monduli wahojiwe wanafunzi kufeli

 Edward LowassaALIYEKUWA Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewaagiza viongozi wa vijiji vyote vya wilaya ya Monduli mkoani Arusha kuitisha mkutano mkuu wa kijiji na kuwahoji walimu, madiwani na maofisa elimu juu ya kufanya vibaya kwa matokeo ya darasa la saba katika wilaya hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

MHE LOWASSA AWAANDALIA FUTARI WAUMINI WA MONDULI

Mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowassa akizungunza na waumi wa dini ya kiislam (hawapo pichani), katika hafla aliyofuturisha katika Msikiti Mkuu wa Monduli mjini. Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh Mwinshehe Mwinyi akizungumza na waumini wakati wa futari iliyoandaliwa na Mh. Lowassa. Baadhi ya waumini wakipata futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa. Mke wa mbunge wa jimbo la monduli Mama Regina Lowassa akizungumza katika ghafla ya futari  iliyoandaliwa na mbunge wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Safari ya matumaini bado inaendelea Monduli

Pg 1 coolNA FREDY AZZAH, MONDULI

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema safari ya matumaini ilianzia Monduli Mkoa wa Arusha na itaishia Monduli.

Kutokana na hali hiyo  amewataka wananchi wapendane kwa sababu kuna maisha baada ya uchaguzi.

Lowassa aliyasema hayo jana kwa nyakati tofauti kwenye mikutano yake ya kampeni   katika Jimbo la Monduli.

Akiwa Monduli mjini kwenye mkutano uliofanyika katika uwanja wa polisi ambako ndiko nyumbani kwake, Lowassa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani