Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAYA NDIO MADAI YA MADEEVA WALIOGOMA

Madai hayo ni pamoja na kupewa mikataba bora ya ajira, ambayo itahusisha utaratibu wa ulipwaji wa mishahara ili kuisaidia serikali kukusanya kodi tofauti na ulipwaji wa posho ambao unatumika sasa kupitia huduma za kibenki yazinayotolewa kupitia simu za mikononi.
Wanadai utaratibu huo wa sasa umekuwa ukiwafanya wadhalilike kwa kulipiwa na abiria chakula na kinywaji mahotelini wanapokuwa safarini.

Mengine ni kupinga uamuzi wa serikali wa kuwataka kurudi chuo kusoma wakidai kuwa hakuna jipya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Madai haya ni zaidi ya Ukristo na Uislamu

Hivi karibuni, mwandishi mmoja aliandika akihoji hatua ya Rais Jakaya Kikwete kuwateua Waislamu kushika wizara nyeti zote.

 

10 years ago

Bongo Movies

Haya Ndio Malalamiko ya Mama Kanumba kwa Lulu

Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama wa aliyekuwa nyota wa fani hiyo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa wamefikia pabaya baada ya mama huyo kumshushia Lulu maneno  makali na ya shutuma.

Kwa mujibu wa Gazeti la Amani, inadaiwa kuwa mama Kanumba amemlalamikia Lulu kwamba, amemtupa na kumtenga tofauti na zamani ambapo uhusiano wao ulikuwa kama wa mama na binti yake.

Akizungumzia swala hilo kwa njia ya simu mama Kanumba alilieleza gazeti hilo kinaga ubaga

“Lulu si Lulu yule...

 

10 years ago

Dewji Blog

Haya ndio majimbo mapya 26 ya uchaguzi baada ya kugawanywa

lub

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva.

Majimbo 26 Mapya 13 JULAI 2015.pdf 

 

10 years ago

Bongo Movies

Haya Ndio Maelezo ya JB Kuhusu Watu Wanaotaka Kuigiza Naye

Habari,mara nyingi nimekuwa nikipokea maombi ya watu kutaka kuigiza, jamani kuna team ya ma director ndio wanafanya kazi hii sio mimi, na hawawezi kukuchagua kwa kusema tu, mpaka wakuone ukiigiza mahali nawavutiwe.

Please  anza hata kwenye tamthilia.naamini wapo waigizaji wengi wenye vipaji lakini ni lazima uanzie sehemu kabla ya kufika kwetu.asante. JB ameandika haya kwenye ukurasa mtandaoni.

 

9 years ago

Bongo5

Haya ndio yaliyowapeleka Young Dee na Nyandu Toz Afrika Kusini

N-Y

Kama unawa-follow Young Dee na Nyandu Toz utakuwa umekutana na post zao nyingi kwenye akaunti zao za mitandao ya kijamii zinazooonesha wako Afrika kusini.

N-Y

Haikuwa imewekwa wazi sababu zilizowapeleka huko, japo kutokana na ongezeko la wasanii wengi wa Bongo kwenda kufanya video Afrika Kusini, wengi walihisi pia na wao ndicho kilichowapeleka.

Young D na Nyandu wamesema kuwa wameenda Afrika Kusini kufanya show. “Nipo hapa na Nyandu Toz maeneo ya Johannesburg kwaajili ya maandalizi ya show...

 

9 years ago

MillardAyo

Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange!

Wiki moja iliyopita, Mtanzania Agness Masogange alikuwa topic kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya post yake kwenye Instagram kuzua mjadala mkubwa na kuibua uvumi mkubwa sana kati yake na Davido staa wa muziki kutoka Nigeria. Masogange alipost kipimo cha ujauzito kwenye page yake ya Instagram, post iliyoibua mjadala mkubwa Nigeria na Tanzania na kuacha […]

The post Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani