Haya Ndio Malalamiko ya Mama Kanumba kwa Lulu
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama wa aliyekuwa nyota wa fani hiyo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa wamefikia pabaya baada ya mama huyo kumshushia Lulu maneno makali na ya shutuma.
Kwa mujibu wa Gazeti la Amani, inadaiwa kuwa mama Kanumba amemlalamikia Lulu kwamba, amemtupa na kumtenga tofauti na zamani ambapo uhusiano wao ulikuwa kama wa mama na binti yake.
Akizungumzia swala hilo kwa njia ya simu mama Kanumba alilieleza gazeti hilo kinaga ubaga
“Lulu si Lulu yule...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MAMA LULU, MAMA KANUMBA WAENDA KULA KIAPO
10 years ago
GPL
MAMA KANUMBA: MAMA LULU ANGENIPELEKA JELA
10 years ago
Bongo Movies01 Nov
Mama Kanumba Adai Kutukanwa na Mama Lulu
MAMA wa aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amedai kwamba mama wa msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresa Kalugira amemtukana matusi mazito yaliyomsababishia presha na vidonda vya tumbo.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mama Kanumba alisema wiki mbili zilizopita mama Lulu alimpigia simu usiku wa manane na kuanza kumporomoshea matusi na kumtaka aache kumfuatilia na mwanaye.
“Kweli hayo matusi yameniumiza, mpaka sasa ninaumwa kwani presha inapanda kila...
10 years ago
GPL
MAMA KANUMBA, MAMA LULU KIMENUKA!
11 years ago
GPL
LULU AMSHANGAZA MAMA KANUMBA
10 years ago
GPL
LULU, MAMA KANUMBA WAPIGANA VIKUMBO
10 years ago
GPL
LULU, MAMA KANUMBA WAFIKA PABAYA
10 years ago
GPL
MAMA KANUMBA, UNAONAJE UKIACHANA NA LULU?