Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUPOTEA KWA UJAUZITO (PSEUDOCYSIS)

Tatizo hili pia huitwa ‘false Pregnancy’ au Phantom Pregnancy au Hysterical Pregnancy’ na wataalamu wengine huita ‘Pseudo pregnancy’.Mwanamke mwenye tatizo hili hujihisi ni mjamzito lakini baada ya muda huona siku zake kama kawaida. Mwanamke anakuwa na dalili zote za ujauzito   kama matiti kujaa, chuchu kuuma, kuhisi kichefuchefu na hata kutapika asubuhi au kutopenda baadhi ya vyakula lakini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UTATA WAZIDI KUPOTEA KWA NDEGE YA MALAYSIA

Ndege ya Malaysia iliyopotea MH370.
Machi 8, mwaka huu dunia ilisikia vilio vingi kutoka Beijing, China na Kuala Lumpur, Malaysia. Ndugu, jamaa na marafiki walikusanyika viwanja vya ndege wakiwalilia ndugu zao waliopotea kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia, Malaysia Airlines. Baadhi ya ndugu wa abiria waliopotea na ndege MH370. Ilikuwa hivi; ndege hiyo iliyokuwa ikifanya safari namba Flight… ...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUPOTEA KWA BIBI HUSNA NCHINI MALAYSIA .

Tunamtafuta Bibi Husna ambaye asili ya kimalaysia, aliolewa na Mtanzania Baba yake ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa ni Bw. Said Abdullah Belwal.
Kwa taarifa Husna ni Muuguzi (Nurse) ila haifahamiki hospitali gani na mji gani.
Mume wake ni Mwanajeshi na ndoa yao ilifungwa kijeshi.  Tafadhali atapopata tangazo hili au yeyote mwenye taarifa zake awasiliane na namba hizi Mob: +60102987357 Tel: +60342517603 Kuala Lumpur, Malaysia Email: apoloniamwangosi@yahoo.com

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUPOTEA KWA MTOTO SAMIR DAIM LUAMBANI

Mtoto amepotea anaitwa Samir Daim Luambani ana miaka 8, anasoma Darasa la pili St.Mary’s. Mtoto anaishi Image- Dodoma. Amepotea tarehe 14/04/2020 saa 1 jioni akiwa amevaa suruali track suti nyeusi na jezi yenye rangiya kijani na nyeupe na koti la dark blue.  Tafadhali kwa atakayemuona atoe taarifa kituo cha polisi kilicho karibu naye au kwa namba zifuatazo namba: 0712 455 228, 0653 822 486, 0716 671 085, 0682 805 208, 0787 239 439, 0712 730 788.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tangazo la kupotea kwa ndugu Nsajigwa Kennedy Mwang’onda

Familia ya Marehemu Robert Mwang’onda wa Mabibo jijini Dar es Salaam wanapenda kutangaza kupotelewa na ndugu yao Nsajigwa Kennedy Mwang’onda ambaye aliondoka nyumbani Mabibo CCM – Karibu na Chuo Cha Usafirishaji toka tarehe 26-2-2015. Anamatatizo la kupoteleza Kumbukumbu.

Atakayemuona awafahamishe kwa simu namba 0715 919 168 Frank Mwang’onda, 0682 822 111/ 0754 631 888.

Au atoe taarifa kituo chochote cha Polisi kwa URP/RB/2331/2015.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:KUPOTEA KWA MTOTO FAITH CHARLES RUHEMBE

Taarifa ya kupotelewa kwa mtoto Faith Charles Ruhembe. Amepotea tangu 31.07.2014 saa saba mchana, eneo la makumbusho usalama. Ni binti wa miaka tisa (9) na anasoma shule ya msingi Martin Luther Dodoma.
Usalama ni kwa shangazi yake Catherine Ruhembe, ambaye ni shemeji yangu na dada wa mke wangu Carolyne Ruhembe. Tumeshatoa taarifa vituo vya polisi na TV pia.
Pamoja na ujumbe huu, naambatanisha picha yake  kwa ufafanusi zaidi. Kwenye picha ni huyo binti. Ikiwa ufafanuzi zaidi ya huu utahitajika,...

 

11 years ago

Michuzi

DAKIKA 90: Kupotea kwa Air Malaysia na takwimu za usalama wa anga duniani

Ndege aina ya Boeing 777 ya Malaysia Airlines ikiruka kutoka Roissy-Charles de Gaulle Airport nchini Ufaransa mwaka 2011. Photo Credits: PressTv Wakati harakati za kutafuta ndege ya Shirika la ndege la Malaysia iliyopotea zikizidi kushika kasi na kuvunja rekodi ya kushirikisha mataifa mengi duniani, baadhi ya takwimu kuhusu hali ya usalama wa safari za anga duniani zimezidi kuibuka na kufungua macho ya wengi waliokuwa wakiamini kuwa tukio hili ni la kwanza na / ama miongoni mwa machache...

 

10 years ago

GPL

TANGAZO LA KUPOTEA KWA NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA‏

Familia ya Marehemu Robert Mwang'onda wa Mabibo jijini Dar es Salaam wanapenda kutangaza kupotelewa na ndugu yao Nsajigwa Kennedy Mwang'onda ambaye aliondoka nyumbani Mabibo CCM - Karibu na Chuo Cha Usafirishaji toka tarehe 26-2-2015. Nsajigwa ana matatizo ya kupoteza kumbukumbu. Atakayemuona awafahamishe kwa simu namba 0715 919 168 Frank Mwang'onda, 0682 822 111/… ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kupotea kwa Muda: Wema Sepetu Arudi tena Mzigoni Akiwa na JB

Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameshare nasi kipande kidogo cha video ya kazi mpya  inayokwenda kwa jina la  Chungu Cha Tatu akiwa na Staa mwenzake, Jacob Stephen  'JB' wakiwa 'lokesheni'.

Kwa muda mrefu sasa Wema Sepetu amekuwa afanyi filamu, Bila shaka mashabiki wake wana hamu kubwa sana ya kumuona tena kwenye filamu.

Jionee kipande cha kazi hiyo  HAPA

 

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya kupotea kwa wiki mbili, staa wa soka Ivory Coast amekutwa amefariki mtoni Ujerumani …

Ikiwa ndani ya wiki zisizo pungua tatu ulimwengu wa soka umepokea taarifa za vifo vya wanasoka wawili, mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta na aliyekuwa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco. January 2 ulimwengu wa soka umepokea taarifa za kifo cha beki wa zamani wa timu ya taifa ya […]

The post Baada ya kupotea kwa wiki mbili, staa wa soka Ivory Coast amekutwa amefariki mtoni Ujerumani … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani