Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi TAZARA kukatwa mishahara

MGOMO wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia umesababisha hasara ya Sh bilioni 2.65 ambazo sasa Serikali imesema wafanyakazi watakatwa kwenye mishahara yao kufidia. Wafanyakazi hao ambao jana wametangaza kusitisha mgomo huo baada ya Mahakama kuuba- tilisha juzi, imeelezwa kwamba mishahara yao itakatwa kwa utaratibu utakaowekwa na Menejimenti.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wabunge Burkina Faso kukatwa mishahara

Wabunge wa bunge la Burkina Faso wamekubali kupunguza mishahara yao kwa asilimia hamsini baada ya kampeini kali kwenye mitandao ya kijamii

 

5 years ago

BBCSwahili

Je, Wabunge wa Kenya watakubali kukatwa mishahara yao?

Wabunge nchini Kenya wanatarajiwa kuonekana iwapo watafuata mfano wa Rais Kenyatta kupunguzwa kwa mshahara wake kuchangia katika kushuhulikia maambukizi ya virusi vya corona.

 

10 years ago

Habarileo

TAZARA walipwa mishahara ya miezi 4

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) waliokuwa wakidai mishahara yao ya miezi mitano, jana walilipwa sehemu ya madai hayo.

 

11 years ago

Mwananchi

Tazara wagoma, wadai mishahara tangu Feb.

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), wamegoma kufanya kazi hadi Serikari itakapowalipa mishahara ya miezi mitatu.

 

11 years ago

Mwananchi

JK kuhutubia wafanyakazi, Tucta yalilia mishahara

Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kuhutubia wafanyakazi katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), limeitaka Serikali kupandisha kima cha chini hadi kufikia Sh750,000.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwekezaji adaiwa kutolipa mishahara ya wafanyakazi

Wafanyakazi 160 wa Shamba la Mipira la Kichwale linalomilikiwa na Kampuni ya Agro Tec Limited wamedai kutolipwa mishahara yao kwa zaidi ya miezi minne sasa.

 

11 years ago

Habarileo

Wafanyakazi TAZARA wagoma

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wamegoma kufanya kazi kwa kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitatu.

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Tazara kugoma

Dk Harison MwakyembeWAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) kupitia Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (Trawu) wameazimia kuanza mgomo leo wakidai Serikali Sh bilioni 12.5 huku wakisitisha huduma za usafiri wa treni zote za mamlaka hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TUCTA yalia mishahara duni kwa wafanyakazi

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limebaini kuwa wafanyakazi wengi nchini bado wanakabiliwa na maisha magumu kutokana na malipo duni ya ujira. Pia limesema kutozingatiwa kwa sheria za kazi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani