Unyama, ubabe wa polisi
ASKARI polisi Kituo cha Msimbazi, Wilaya ya Kipolisi Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameingia katika tuhuma za kumkamata, kumpiga na kisha kumvunja mikono yote Kulwa Kitange (40), mkazi wa Kigamboni,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Tunalaani unyama huu wa Polisi
JESHI la Polisi, juzi lilifanya kile kinachoweza kuitwa kuwa ni unyama na ukatili uliopitiliza dhidi ya waandishi wa habari na watu walioamua kumsindikiza Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
11 years ago
Habarileo06 Feb
Polisi 8 matumbo moto kwa unyama
ASKARI Polisi saba wa kiume na mmoja wa kike, wanakabiliwa na tuhuma za kumtesa mahabusu mwanamke kwa kumvua nguo na kumwingizia chupa ya bia katika sehemu za siri.
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Lipumba kumwona JK kuhusu ubabe wa polisi
10 years ago
Mwananchi24 Sep
UBABE: Polisi wavamiwa Lindi, mtuhumiwa auawa
11 years ago
Mwananchi08 Jul
BRAZIL 2014: Ubabe ubabe: Brazil v Ujerumani
10 years ago
Vijimambo12 Oct
Unyama Dar
Mwanafunzi wa shule ya msingi jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka saba, ameuawa kikatili baada ya kubakwa, kuchinjwa na kunyofolewa sehemu zake za siri.
Mwanafunzi huyo wa darasa la kwanza (jina linahifadhiwa), mwili wake ulikutwa umetupwa kwenye shamba karibu na nyumbani kwao jana maeneo ya Mbezi Temboni, kata ya Saranga.
Akisimulia tukio hilo, mama wa mtoto huyo (jina linahifadhiwa), alisema kuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oMMRDz9hqvWUGz*XAqm5otWxhmlER2nZSaK4GFDPk7TrcoQt5RbmMqxo0GUa6HouKzu0QLm65JKU6R6vY7T4dB5/unyama.jpg)
UNYAMA ULIOJE!
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Majambazi wafanya unyama
WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wameteka magari mawili ya mafuta na kuwadhuru watu waliokuwamo kwa kuwakata mapanga na wengine kudaiwa kukatwa masikio. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana katika Kijiji...
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Unyama huu wa manispaa ukmeshwe
MARA nyingi katika safu hii na katika mikutano mbalimbali nimeelezea hali ya kusikitisha na kukirihisha ya ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanyika sehemu nyingi Zanzibar. Siku za nyuma wengi waliohusika na...