Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majambazi wafanya unyama

WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wameteka magari mawili ya mafuta na kuwadhuru watu waliokuwamo kwa kuwakata mapanga na wengine kudaiwa  kukatwa masikio. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana katika Kijiji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Majambazi wafanya kufuru Bukombe

>Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Bukombe mkoani Geita kimevamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha za kivita pamoja na mabomu, na kuwaua askari polisi wawili na wengine wawili kujeruhiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Unyama Dar

Mwanafunzi auawa kikatili baada ya kubakwa, kuchinjwa shingo na kunyofolewa sehemu nyeti
Mwanafunzi wa shule ya msingi jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka saba, ameuawa kikatili baada ya kubakwa, kuchinjwa na kunyofolewa sehemu zake za siri.

Mwanafunzi huyo wa darasa la kwanza (jina linahifadhiwa), mwili wake ulikutwa umetupwa kwenye shamba karibu na nyumbani kwao jana maeneo ya Mbezi Temboni, kata ya Saranga.

Akisimulia tukio hilo, mama wa mtoto huyo (jina linahifadhiwa), alisema kuwa...

 

11 years ago

GPL

UNYAMA ULIOJE!

Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima UNYAMA ulioje? Mtoto Fatuma Hassan (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Hekima iliyopo Tandale, Dar anadaiwa kufungiwa ndani kwa siku tatu kisha kuchomwa moto na mama yake mkubwa aliyetajwa kwa jina moja la Diana (38), mkazi wa maeneo hayo, kisa kikielezwa kuwa ni shilingi mia tano. Mtoto Fatuma Hassan (9) anyedaiwa kufungiwa ndani kwa siku tatu kisha kuchomwa moto mikononi na mama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unyama, ubabe wa polisi

ASKARI polisi Kituo cha Msimbazi, Wilaya ya Kipolisi Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameingia katika tuhuma za kumkamata, kumpiga na kisha kumvunja mikono yote Kulwa Kitange (40), mkazi wa Kigamboni,...

 

11 years ago

GPL

HUU SASA NI ZAIDI YA UNYAMA!

Stori: Deogratius Mongela
Huu ni zaidi ya unyama! Mama ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi huko Tandika, Dar, almaarufu kwa jina la Mama Kumburu, anatuhumiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia wa mtoto wa miaka 10 kisha kutiwa mbaroni. OFM yamuokoa mtoto wa huyu. Baada ya kupata malalamiko ya raia kuwa kuna mtoto anatumikishwa kazi za mtu mzima, hivi karibuni Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) iliingia mzigoni na kwenda kumwokoa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tunalaani unyama huu wa Polisi

JESHI la Polisi, juzi lilifanya kile kinachoweza kuitwa kuwa ni unyama na ukatili uliopitiliza dhidi ya waandishi wa habari na watu walioamua kumsindikiza Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unyama huu wa manispaa ukmeshwe

MARA nyingi katika safu hii na katika mikutano mbalimbali nimeelezea hali ya kusikitisha na kukirihisha ya ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanyika sehemu nyingi Zanzibar. Siku za nyuma wengi waliohusika na...

 

11 years ago

Mwananchi

Unyama zaidi wabainika Operesheni Tokomeza

>Unyama zaidi umebainika katika taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuhusu Operesheni Tokomeza Ujangili baada ya kubainika kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Francis Miti, kukiri kujihifadhi kwenye hoteli moja nje ya wilaya yake.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mtanzania afanyiwa unyama wa kutisha ‘Sauzi’



 Akatwa sehemu za siri, ajeruhiwa vibaya mgongoni, tumboni na kwenye jicho
NA MWANDISHI WETU
MFANYABIASHARA aliyefahamika kwa jina la Jumanne Tevez, mkazi wa Dar es Salaam, amefanyiwa unyama baada ya kudaiwa kukatwa uume wake na wenzake.
Habari za uhakika kutoka chanzo chetu cha habari zilisema kuwa Tevez, amelazwa katika hospitali moja nchini Afrika Kusini akipatiwa matibabu.
Chanzo chetu hicho ambacho kipo karibu na familia ya mfanyabiashara huyo, kilieleza kuwa taratibu zinafanywa ili mke...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani