Tunalaani unyama huu wa Polisi
JESHI la Polisi, juzi lilifanya kile kinachoweza kuitwa kuwa ni unyama na ukatili uliopitiliza dhidi ya waandishi wa habari na watu walioamua kumsindikiza Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6daaeMdcFZ4iUF80QNb6DyvrVuKywhjEdkTNfhPNpBxj5SX0NAyfknuJZhadYdo20bdckMKBL6o-pcrLFLwqrbyA/unyama.jpg?width=600)
HUU SASA NI ZAIDI YA UNYAMA!
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Unyama huu wa manispaa ukmeshwe
MARA nyingi katika safu hii na katika mikutano mbalimbali nimeelezea hali ya kusikitisha na kukirihisha ya ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanyika sehemu nyingi Zanzibar. Siku za nyuma wengi waliohusika na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yKWLMefqYBySt9by8MA5W31eC5aIDzN6QQOytBe0Y0vTeQYF9wJVuwVF-OtwhCTSvBNSvLP6-nHFoKrKBUQwqHOuUjXPHTtD/frontj.jpg)
UNYAMA, UDHALILISHWAJI MTALAKA WA ISHAMASHAUZI UKWELI NI HUU
10 years ago
Vijimambo31 Jan
UNYAMA, UDHALILISHWAJI MTALAKA WA ISHA MASHAUZI UKWELI NI HUU
![](http://api.ning.com/files/yKWLMefqYBy8wstcdaskcA5v-1jy90*z4WijlI3YQTpZpnGp7i7j*kyXNp7ljtotalZD3aO2YI4TDXqCDdGaewGLDpX0Ihel/ee.jpg)
HATIMAYE ukweli wa kutekwa, kuteswa kwa kudhalilishwa kwa aliyekuwa mume wa mwimba taarab mahiri Bongo, Aisha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’, Jumanne Hassan ‘Tevez’, umejulikana, Risasi Jumamosi limechimba.Januari 28, mwaka huu, picha za Tevez akiwa ametoka kuteswa kwa kudhalilishwa zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii huku wengine wakidai kisa ni kukutwa na mke wa mtu, wengine...
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Unyama, ubabe wa polisi
ASKARI polisi Kituo cha Msimbazi, Wilaya ya Kipolisi Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameingia katika tuhuma za kumkamata, kumpiga na kisha kumvunja mikono yote Kulwa Kitange (40), mkazi wa Kigamboni,...
11 years ago
Habarileo06 Feb
Polisi 8 matumbo moto kwa unyama
ASKARI Polisi saba wa kiume na mmoja wa kike, wanakabiliwa na tuhuma za kumtesa mahabusu mwanamke kwa kumvua nguo na kumwingizia chupa ya bia katika sehemu za siri.
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Tunalaani vurugu hizi mdahalo wa Katiba
11 years ago
Dewji Blog28 Apr
“Tunalaani ukatili maovu wanayofanyiwa waandishi wa habari.” — Tibanyendera (MISA-TAN)
Picha juu na chini ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA-TAN), Bw. Mohamed Tibanyendera (wa pili kushoto) akizungumza jijini Dar es Salaam jana kuhusiana maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari yatakayofanyika wiki hii duniani kote. Kushoto ni Meneja wa Maadili na Usuluhishi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Allan Lawa, Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama (wa pili kulia)...
11 years ago
Michuzi28 Apr
“TUNALAANI UKATILI MAOVU WANAYOFANYIWA WAANDISHI WA HABARI.” - TIBANYENDERA (MISA-TAN)
![DSC_0085](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/DSC_00851.jpg)
Picha juu na chini ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA-TAN), Bw. Mohamed Tibanyendera (wa pili kushoto) akizungumza jijini Dar es Salaam jana kuhusiana maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari yatakayofanyika wiki hii duniani kote. Kushoto ni Meneja wa Maadili na Usuluhishi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Allan Lawa, Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama (wa pili kulia) na Makamu...