Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


“TUNALAANI UKATILI MAOVU WANAYOFANYIWA WAANDISHI WA HABARI.” - TIBANYENDERA (MISA-TAN)

DSC_0085
Picha juu na chini ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA-TAN), Bw. Mohamed Tibanyendera (wa pili kushoto) akizungumza jijini Dar es Salaam jana kuhusiana maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari yatakayofanyika wiki hii duniani kote. Kushoto ni Meneja wa Maadili na Usuluhishi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Allan Lawa, Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama (wa pili kulia) na Makamu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

“Tunalaani ukatili maovu wanayofanyiwa waandishi wa habari.” — Tibanyendera (MISA-TAN)

DSC_0085

Picha juu na chini ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA-TAN), Bw. Mohamed Tibanyendera (wa pili kushoto) akizungumza jijini Dar es Salaam jana kuhusiana maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari yatakayofanyika wiki hii duniani kote.  Kushoto ni Meneja wa Maadili na Usuluhishi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Allan Lawa, Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama (wa pili kulia)...

 

11 years ago

GPL

TIBANYENDERA (MISA-TAN)‏: TUNALAANI UKATILI MAOVU WANAYOFANYIWA WAANDISHI WA HABARI

Picha juu na chini ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA-TAN), Bw. Mohamed Tibanyendera (wa pili kushoto) akizungumza jijini Dar es Salaam jana kuhusiana maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari yatakayofanyika wiki hii duniani kote. Kushoto ni Meneja wa Maadili na Usuluhishi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Allan Lawa, Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yaahidi kushirikiana na mashirika na wadau wa habari kutokomeza vitendo vya ukatili kwa waandishi wa habari

IMG_2832

Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (katikati) akisalimiana na Mjumbe wa bodi udhamini ya Mtandao wa Radio Jamii Tanzania (COMNETA), Balozi Mstaafu, Christopher Liundi alipowasili katika mkutano wa kitaifa wa mashauriano kuhusu hali ya usalama wa waandishi wa habari, uzinduzi wa kikosi kazi cha usalama wa waandishi wa habari na uandishi unaozingatia maadili ulioandaliwa na UNESCO. Kulia ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Simon Berege aula uenyekiti MISA-TAN

10612541_635931856514532_1179852893165923510_n

Mjumbe wa Kamati ya utendaji MISA -TAN, Lilian Lucas Kasenene akimpongeza Mwenyekiti  mpya wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA-TAN), Simon Berege.

Na Nathaniel Limu

Mkutano mkuu wa uchaguzi wa Chama cha waandishi wa habari kusini mwa Afrika (MISA-TANZANIA), umemchagua kwa kishindo Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Iringa, Simon Berege kuwa mwenyekiti wake kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.

Berege ambaye alikuwa mgombea pekee wa nafasi hiyo, alizoa kura zote...

 

10 years ago

Dewji Blog

MISA-TAN yaadhimisha siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa na kutoa matokeo ya utafiti wa upatikanaji wa taarifa kwenye ofisi za umma nchini Tanzania‏‎

Mkurugenzi  wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kushoto) akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari waliofika kwenye mkutano wao uliofanyika jana kwenye ofisi za MISA Tanzania  zilizopo jijini Dar es Salaam. Kulia ni  Mkurugenzi msaidi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Andrew Marawiti. Misa-Tanzania-Media Institute of...

 

9 years ago

Dewji Blog

MISA-TAN:Yasherekea Siku ya Kimataifa ya Haki ya kupata taarifa na kuzindua utafiti wa kupata taarifa Ofisi za Umma

Afisa Utafiti na Maelezo wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Sengiyumva Gasirigwa (wa kwanza kushoto) akitoa ufafanuzi alipokuwa anafungua mkutano huo kwa waandishi wa habari na wageni waalikwa kutoka kwenye taasisi mbalimbali za Serikali kwenye siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa ambayo uadhimishwa Septemba 28 kwa kila mwaka.

Mwenyekiti msaidi wa Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), Bwana...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

9 years ago

StarTV

Waandishi wa habari wajengewa uwezo Mtwara kuandika Habari Za Gesi Na Mafuta

Mradi wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari wanaoandika habari za gesi na mafuta katika nchi tatu za Afrika, Tanzania, Uganda na Ghana unaoendeshwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira JET pamoja na wadau wengine umeanza kuzaa matunda baada ya kuwepo kwa ongezeko la habari zinazogusa sekta hiyo mpya hapa nchini.

Katika awamu ya pili ya mafunzo hayo kwa waandishi wa habari wanane wa Tanzania ambao hapo awali walihudhuria mafunzo hayo mjini Accra Ghana, imebainishwa kuwa tangu...

 

10 years ago

Michuzi

Waandishi wa habari watakiwa kuwa makini na habari za uchaguzi 2015 wanazoziripoti

Mhandisi Kisaka kutoka TCRA makao makuu akitoa somo kwa viongozi wa vyombo vya habari kanda ya Nyanda za juu kusini.
Na Edwin Moshi, MbeyaVyombo vya habari nchini vimetakiwa kuwa makini na kuripoti habari za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kufuata maadili na weledi wa taaluma hiyo ili kufanikisha uchaguzi huo kwa amani
Hayo yamesemwa leo jijini Mbeya na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA wakati wakiwapa semina mameneja na wamiliki wa vyombo vya habari vilivyopo kanda ya nyanda za juu kusini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani