HUU SASA NI ZAIDI YA UNYAMA!
Stori: Deogratius Mongela Huu ni zaidi ya unyama! Mama ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi huko Tandika, Dar, almaarufu kwa jina la Mama Kumburu, anatuhumiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia wa mtoto wa miaka 10 kisha kutiwa mbaroni. OFM yamuokoa mtoto wa huyu. Baada ya kupata malalamiko ya raia kuwa kuna mtoto anatumikishwa kazi za mtu mzima, hivi karibuni Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) iliingia mzigoni na kwenda kumwokoa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Unyama huu wa manispaa ukmeshwe
MARA nyingi katika safu hii na katika mikutano mbalimbali nimeelezea hali ya kusikitisha na kukirihisha ya ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanyika sehemu nyingi Zanzibar. Siku za nyuma wengi waliohusika na...
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Tunalaani unyama huu wa Polisi
JESHI la Polisi, juzi lilifanya kile kinachoweza kuitwa kuwa ni unyama na ukatili uliopitiliza dhidi ya waandishi wa habari na watu walioamua kumsindikiza Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
10 years ago
GPLUNYAMA, UDHALILISHWAJI MTALAKA WA ISHAMASHAUZI UKWELI NI HUU
10 years ago
Vijimambo31 Jan
UNYAMA, UDHALILISHWAJI MTALAKA WA ISHA MASHAUZI UKWELI NI HUU
HATIMAYE ukweli wa kutekwa, kuteswa kwa kudhalilishwa kwa aliyekuwa mume wa mwimba taarab mahiri Bongo, Aisha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’, Jumanne Hassan ‘Tevez’, umejulikana, Risasi Jumamosi limechimba.Januari 28, mwaka huu, picha za Tevez akiwa ametoka kuteswa kwa kudhalilishwa zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii huku wengine wakidai kisa ni kukutwa na mke wa mtu, wengine...
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Unyama zaidi wabainika Operesheni Tokomeza
10 years ago
Bongo Movies25 Sep
Sasa nipo teyari kuolewa- Jackline Wolper, Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu
Star wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kuwa kwasasa yupo tayari kuolewa baada ya kupitia mambo mengi zikiwemo starehe za ujana ambazo wengi wanaokuwa kwenye ndoa huzikimbilia na kuvunja ndoa zao kwa kuwa hawakuzifanya kipindi wapo nje ya ndoa.
"Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza...
10 years ago
Mwananchi20 May
Ufisadi huu sasa kiama
10 years ago
Dewji Blog05 Feb
Muswada wa Sheria ya Habari sasa April mwaka huu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Saidi Mtanda akiwasilisha taarifa ya kamati.
Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma
SERIKALI inatarajia kuwasilisha Muswada wa Sheria ya Habari katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la mwezi April mwaka huu ili kujadiliwa na kupitishwa kuwa Sheria kamili.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii Saidi Mtanda wakati akiwasilisha taarifa ya kazi za kamati yake kuanzia Januari 2014 hadi Januari 2015.
Alisema muswada huo...
10 years ago
Jamtz.Com