Zanzibar Heroes, Kili Stars kazini Chalenji
NA ZAINAB IDDY
MICHUANO ya Chalenji inayoshirikisha nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), inatarajia kuanza leo nchini Ethiopia huku timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ ikianza kibarua kwa kuvaana na Burundi huku wenzao wa Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ wakicheza kesho kwa kucheza na Somalia.
Michuano hiyo inayoanza leo itamalizika Desemba 6 mwaka huu ambapo Zanzibar Heroes inayonolewa na Kocha mkuu, Hemed Morocco, akisaidiana na Malale Hamsini, ipo kundi B pamoja...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BpcxhYIbWSbLLGO3dMemxhzCxjZITc88re1H1*3Zi1tqEKgZAICAsKI6OaSRZtLhUbz18rENtlbkeDZgTF6EcOl5iBAFelJ4/kilistars.jpg)
KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Kili Stars yapangwa kundi la kifo Chalenji
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) jana limepanga droo ya michuano ya Kombe la Chalenji, itakayoanza Novemba 21 mwaka huu nchini Ethiopia.
Droo hiyo imeonyesha kuwa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, imepangwa kundi A sambamba na wenyeji Ethiopia, Somalia na Zambia ‘Chipolopolo’ iliyoalikwa kwenye michuano hiyo na kulifanya kuwa kundi la kifo.
Wawakilishi wengine wa Tanzania, Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ wenyewe...
9 years ago
Habarileo11 Nov
Kili Stars yapangwa na Ethiopia, Zambia Chalenji
TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imepangwa kundi moja na wenyeji Ethiopia pamoja na Zambia katika michuano ya Chalenji mwaka huu.
9 years ago
Mtanzania01 Dec
Penalti zaing’oa Kili Stars Chalenji Cup
NA MWANDISHI WETU
PENALTI mbili za timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, zilizopigwa na kiungo Jonas Mkude na beki Shomari Kapombe, zimeing’oa timu hiyo kwenye michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kuchezwa na kipa Abel Mamo wa Ethiopia na kuwavusha wenyeji hao katika hatua ya nusu fainali.
Mamo alizicheza vema penalti hizo na kuiongoza Ethiopia kutinga hatua hiyo kwa ushindi wa mikwaju ya penalti 4-3, kufuatia dakika 90 matokeo kwisha kwa sare ya bao 1-1 na sasa Ethiopia...
9 years ago
Mwananchi25 Nov
CHALENJI: Kili Stars yang’ara, Z’bar chali
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Kili Stars, Z’bar Heroes kikaangoni
9 years ago
Habarileo29 Nov
Stars kuivaa Ethiopia robo fainali Chalenji
TIMU ya soka Taia ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ itacheza na Ethiopia katika robo fainali ya Kombe la Chalenji kesho.
11 years ago
Michuzibenki ya watu wa zanzibar yadhamini Zanzibar heroes marekani
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HfUvPSttO0I5OPqdx44Kzq2wn7fqAHjinTcKQI7baQr2bif*jjyBGcjnqnyHGHTfqKVHEJ5Q-T1IXfSnlXmD3jrVgBV*GY0g/STAZ.jpg?width=650)
STARS YAIVUA UBINGWA UGANDA, YATINGA NUSU FAINALI CHALENJI