Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kili Stars yapangwa na Ethiopia, Zambia Chalenji

TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imepangwa kundi moja na wenyeji Ethiopia pamoja na Zambia katika michuano ya Chalenji mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Kili Stars yapangwa kundi la kifo Chalenji

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) jana limepanga droo ya michuano ya Kombe la Chalenji, itakayoanza Novemba 21 mwaka huu nchini Ethiopia.

Droo hiyo imeonyesha kuwa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, imepangwa kundi A sambamba na wenyeji Ethiopia, Somalia na Zambia ‘Chipolopolo’ iliyoalikwa kwenye michuano hiyo na kulifanya kuwa kundi la kifo.

Wawakilishi wengine wa Tanzania, Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ wenyewe...

 

11 years ago

GPL

KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0

Kikosi cha Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'. TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao1-0 katika mechi iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Nyayo uliopo jijini Nairobi!

 

9 years ago

Mtanzania

Penalti zaing’oa Kili Stars Chalenji Cup

mtanzania kila siku safiSiah.inddNA MWANDISHI WETU

PENALTI mbili za timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, zilizopigwa na kiungo Jonas Mkude na beki Shomari Kapombe, zimeing’oa timu hiyo kwenye michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kuchezwa na kipa Abel Mamo wa Ethiopia na kuwavusha wenyeji hao katika hatua ya nusu fainali.

Mamo alizicheza vema penalti hizo na kuiongoza Ethiopia kutinga hatua hiyo kwa ushindi wa mikwaju ya penalti 4-3, kufuatia dakika 90 matokeo kwisha kwa sare ya bao 1-1 na sasa Ethiopia...

 

9 years ago

Mtanzania

Zanzibar Heroes, Kili Stars kazini Chalenji

2-5NA ZAINAB IDDY

MICHUANO ya Chalenji inayoshirikisha nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), inatarajia kuanza leo nchini Ethiopia huku timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ ikianza kibarua kwa kuvaana na Burundi huku wenzao wa Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ wakicheza kesho kwa kucheza na Somalia.

Michuano hiyo inayoanza leo itamalizika Desemba 6 mwaka huu ambapo Zanzibar Heroes inayonolewa na Kocha mkuu, Hemed Morocco, akisaidiana na Malale Hamsini, ipo kundi B pamoja...

 

9 years ago

Mwananchi

CHALENJI: Kili Stars yang’ara, Z’bar chali

Wakati Kilimanjaro Stars imefuzu kucheza robo fainali ya mashindano ya Chalenji baada ya jana kuichapa Rwanda mabao 2-1, ndugu zao Zanzibar Heroes wakinyukwa mabao 4-0 na Uganda na kujiweka njiapanda.

 

9 years ago

Habarileo

Stars kuivaa Ethiopia robo fainali Chalenji

TIMU ya soka Taia ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ itacheza na Ethiopia katika robo fainali ya Kombe la Chalenji kesho.

 

9 years ago

Habarileo

Kili Stars, Ethiopia leo

TIMU ya Kilimanjaro Stars leo inashuka dimbani kucheza na wenyeji Ethiopia katika mchezo utakaofanyika Awassa. Tayari timu hiyo imefuzu kucheza robo fainali, lakini ushindi kwao ni muhimu ili kumaliza hatua ya makundi bila ya kufungwa mchezo hata mmoja.

 

9 years ago

TheCitizen

Kili Stars and Ethiopia set another clash

The Mainland soccer team, Kilimanjaro Stars, will play Ethiopia in the quarter final of the 2015 Cecafa Senior Challenge Cup on Monday after finishing top in group A.

 

9 years ago

Mwananchi

Kili Stars bora iliyoacha simulizi Ethiopia

Timu bora imetolewa! Ndivyo mashabiki, wachezaji na makocha waliobaki katika mashindano ya Kombe la Chalenji wanavyoweza kukuambia ukizungumza nao baada ya kutolewa kwa Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ juzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani