Kili Stars, Z’bar Heroes kikaangoni
Macho na masikio ya Watanzania leo yatakuwa mjini Awassa wakati Kilimanjaro Stars na Zanzibar Heroes zitakaposhuka uwanjani kuzikabiri Rwanda na Uganda katika mashindano ya Kombe la Chalenji yanayoendelea nchini Ethiopia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania21 Nov
Zanzibar Heroes, Kili Stars kazini Chalenji
NA ZAINAB IDDY
MICHUANO ya Chalenji inayoshirikisha nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), inatarajia kuanza leo nchini Ethiopia huku timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ ikianza kibarua kwa kuvaana na Burundi huku wenzao wa Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ wakicheza kesho kwa kucheza na Somalia.
Michuano hiyo inayoanza leo itamalizika Desemba 6 mwaka huu ambapo Zanzibar Heroes inayonolewa na Kocha mkuu, Hemed Morocco, akisaidiana na Malale Hamsini, ipo kundi B pamoja...
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Z’bar yaaga kishujaa, Kili Stars leo
9 years ago
Mwananchi25 Nov
CHALENJI: Kili Stars yang’ara, Z’bar chali
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BpcxhYIbWSbLLGO3dMemxhzCxjZITc88re1H1*3Zi1tqEKgZAICAsKI6OaSRZtLhUbz18rENtlbkeDZgTF6EcOl5iBAFelJ4/kilistars.jpg)
KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0
9 years ago
Mwananchi22 Nov
… Kili yaivaa Somalia, Z’bar yalala 1-0
9 years ago
Habarileo25 Nov
Kili yatangulia robo fainali, Z’bar yatoka
TIMU ya Kilimanjaro Stars jana ilitinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kuichapa Rwanda kwa mabao 2-1 katika mchezo uliofanyika mjini Awassa, Ethiopia. Wakati Kilimanjaro Stars ikitinga robo fainali wenzao wa Zanzibar Heroes walifungasha virago baada ya kubandikwa mabao 4-0 na Uganda `The Cranes’ katika mchezo uliopigwa mapema jana.
9 years ago
TheCitizen01 Dec
Kili Stars go down fighting
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Kili Stars hakuna kulala
9 years ago
Habarileo01 Dec
Kili Stars fungu la kukosa
TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imetolewa kwenye michuano ya Chalenji kwa penalti 4-3 dhidi ya wenyeji Ethiopia katika mchezo wa robo fainali uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa Addis Ababa nchini Ethiopia. Timu hizo zilifikia hatua ya kupiga penalti baada ya kucheza dakika 90 na kutoka sare ya bao 1-1.