… Kili yaivaa Somalia, Z’bar yalala 1-0
Wakati Kilimanjaro Stars ya Tanzania Bara ikianza harakati zake za kuwania ubingwa wa Chalenji leo kwa kuikabili Somalia, ndugu zao Zanzibar Heroes wamezama mbele ya Burundi kwa bao 1-0.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen12 Nov
Kili Stars open against Somalia
9 years ago
Habarileo22 Nov
Kili Stars yatamba kuifunga Somalia
Grace Mkojera TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ leo inashuka dimbani mjini Addis Ababa, Ethiopia kuvaana na Somalia katika mchezo wa kwanza kuwania taji la michuano ya Chalenji iliyoanza jana.
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Kili Stars, Z’bar Heroes kikaangoni
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Z’bar yaaga kishujaa, Kili Stars leo
9 years ago
Habarileo25 Nov
Kili yatangulia robo fainali, Z’bar yatoka
TIMU ya Kilimanjaro Stars jana ilitinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kuichapa Rwanda kwa mabao 2-1 katika mchezo uliofanyika mjini Awassa, Ethiopia. Wakati Kilimanjaro Stars ikitinga robo fainali wenzao wa Zanzibar Heroes walifungasha virago baada ya kubandikwa mabao 4-0 na Uganda `The Cranes’ katika mchezo uliopigwa mapema jana.
9 years ago
Mwananchi25 Nov
CHALENJI: Kili Stars yang’ara, Z’bar chali
9 years ago
Dewji Blog23 Nov
Kili Stars yaanza vizuri Cecafa Senior Challenge, yaikamua Somalia, bingwa mtetezi Kenya nae aipa kipigo Uganda!
Kikosi cha Kilimanjaro Stars..
Na Rabi Hume, Modewji blog
Timu inayowakilisha Tanzania bara katika mashindano ya Cecafa Senior Challenge, Kilimanjaro Stars jana imeanza vyema mashindano hayo kwa kuifunga timu ya taifa ya Somalia kipigo cha goli 4 kwa bila.
Katika mchezo huo ambao Kili Stars ilionekana kutawala kwa kipindi kirefu ilifanikiwa kupata goli la kwanza dakika ya 11 kupitia kwa nahodha wa timu hiyo, John Bocco kwa njia ya mkwaju wa penati.
Goli la pili lilifungwa na Elias...
9 years ago
Habarileo01 Jan
Simba yaivaa Ndanda FC
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba leo wanauanza mwaka mpya na mchezo wa 13 wa Ligi Kuu Tanzania bara ugenini kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaoni Mtwara dhidi ya wenyewe wao Ndanda.
11 years ago
Mwananchi27 May
Stars yaivaa Malawi