Z’bar yaaga kishujaa, Kili Stars leo
Zanzibar Heroes ikiwa katika ubora wake ilikumbuka shuka kukiwa kumekucha baada ya kuikamua Harambee Stars ya Kenya kwa mabao 3-1 katika pambano la kukamilishia ratiba la Kombe la Chalenji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Kili Stars, Z’bar Heroes kikaangoni
9 years ago
Mwananchi25 Nov
CHALENJI: Kili Stars yang’ara, Z’bar chali
9 years ago
Habarileo28 Nov
Kili Stars, Ethiopia leo
TIMU ya Kilimanjaro Stars leo inashuka dimbani kucheza na wenyeji Ethiopia katika mchezo utakaofanyika Awassa. Tayari timu hiyo imefuzu kucheza robo fainali, lakini ushindi kwao ni muhimu ili kumaliza hatua ya makundi bila ya kufungwa mchezo hata mmoja.
11 years ago
GPLKILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0
9 years ago
Mwananchi22 Nov
… Kili yaivaa Somalia, Z’bar yalala 1-0
9 years ago
Habarileo25 Nov
Kili yatangulia robo fainali, Z’bar yatoka
TIMU ya Kilimanjaro Stars jana ilitinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kuichapa Rwanda kwa mabao 2-1 katika mchezo uliofanyika mjini Awassa, Ethiopia. Wakati Kilimanjaro Stars ikitinga robo fainali wenzao wa Zanzibar Heroes walifungasha virago baada ya kubandikwa mabao 4-0 na Uganda `The Cranes’ katika mchezo uliopigwa mapema jana.
9 years ago
TheCitizen01 Dec
Kili Stars go down fighting
9 years ago
Habarileo10 Nov
Kibadeni kocha Kili Stars
SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limemteua Abdallah Kibadeni kuwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kwa ajili ya michuano ya Kombe la Chalenji.
9 years ago
TheCitizen12 Nov
Kili Stars open against Somalia