Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TanTrade yapokea vifaa kutoka Taasisi ya Marekani ya USAID

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Bibi Jacqueline Mneney Maleko akipokea Kompyuta, Vifaa vya Ofisi na Samani kutoka kwa Mwakilishi wa Taasisi ya Marekani ya USAID - East Africa Trade Hub,Bw. Peter Nash. Vifaa hivi ni kwa ajili ya kuanzisha rasmi Ofisi za Kamati za Ushirikiano Mipakani (Joint Border Committees) zilizoanzishwa kwenye mipaka 7 ambayo ni Namanga, Kasumulu, Tunduma, Rusumo, Kabanga, Mtukula na Sirari. Madhumuni yake ni kuimarisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

RT yapokea vifaa kutoka Finland

RIADHA Tanzania (RT) jana ilipokea jozi za viatu 450 zenye thamani ya Sh milioni 45 kutoka kwa wananchi wa Finland.

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAPOKEA MSAADA KUTOKA TAASISI YA MILELE ZANZIBAR FOUNDATION

Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 13/04/2020.
NAIBU Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman amewataka wananchi na Taasisi za kiraia kushirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya maradhi ya Corona.
Amesema mashirikiano ya pamoja kati ya wananchi na viongozi na kufuata maekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya yatasaidia kushinda vita dhidi ya maradhi hayo.  
Naibu Waziri wa Afya alitoa kauli hiyo baada ya kupokea msaada wa vifaa vya kujikinga na maradhi ya Corona kutoka Taasisi ya Milele...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAPOKEA TANI TATU YA VIFAA KUTOKA CHINA VYA KUKABILIANA NA CORONA

MJW – Dar es Salaam 
Serikali ya Tanzania mepokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na mlipuko wa maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19) kutoka taasisi ya Jack Ma na Alibaba.

Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mganga Mkuu wa  Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi amesema msaada huo ambao umetolewa na Taasisi ya Jack Ma na Alibaba ni pamoja na mavazi (PPE) 1,000 ya kujikinga wakati wa kuhudumia watu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Timu ya Zanzibar Heroes ya Marekani yapokea jezi kutoka kwa wahisani wa PBZ

Katika kilele cha kusherehekea Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Timu ya  Zanzibar Heroes kupokea Jezi kutoa kwa wadhaminini wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ambazo jezi hizo zilitolewa na wageni rasmi walihudhuria katika sherehe hizo akiwemo Mh. Mwigulu Nchemba  ambae ni Mbunge na naibu waziri wa fedha na Uchumi Tanzania bara na upande wa Zanzibar pamoja na Mhe. Dr. Mwinyihaji Makame mwakilishi na waziri wa nchi ofisi ya rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi...

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya Afya yapokea magari na vifaa vya afya kutoka WHO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo baada ya kupokea msaada wa magari manne na vifaa vya afya  kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia).Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akipokea moja ya funguo kati ya magari manne kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia).Magari manne na vifaa vya...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MWANGA APOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KUTOKA TAASISI YA DK MSUYA

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro, Zefrin Lubuva akizungumza na watumishi wa Halmashauri na Wandishi wa habari wakati akipokea mashine za kisasa za kunawia kutoka kwa Taasisi ya Dk Msuya. Mkurugenzi wa Taasisi ya Dk. Msuya na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha UDOM, Dk Ombeni Msuya akizungumza wakati wa kukabidhi mashine za kisasa za kunawia kwa ajili ya kujikinga na Corona wilayani Mwanga leo. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mwanga, Zefrin Lubuva akinawa kwa kutumia mashine...

 

10 years ago

Vijimambo

MSAADA WA USAFIRISHAJI WA VIFAA VYA KIJAMII KUTOKA WASHINGTON, SEATTLE MAREKANI KWENDA ZANZIBAR

Ndugu Zangu
Napenda kuchukua nafasi hii adhimu mbele yenu kuandika mada yangu tukufu kama ilivyotanjwa hapo juu.

Kwa niaba yangu binafsi, Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla waliopo hapa Washington State na Nchini Marekani napenda kutumia nafasi ya kutoa maelezo ya vifaa vilivyopo hivi sasa katika Storage zetu kwa hatua kuvisafirisha kutoka Bandari ya Seattle hadi Zanzibar.

Vifaa hivi vimekusanywa na mimi kwa mashirikiano wafadhili mbali mbali waliojitolea kwa ajili ya kusaidia juhudi za...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA ODO UMMY FOUNDATION YATOA VIFAA VYA USAFI KWA TAASISI KUBWA ZA DINI JIJINI TANGA

 MKUU wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa kushoto akiwakabidhi baadhi ya wawakilishi wa Taasisi kubwa za Dini Jijini Tanga msaada wa vifaa vya usafi ambayo vimetolewa na taasisi ya odo Ummy Foundation inayoongozwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kulia mwenye kanzu ni Katibu Mkuu wa Taasisi ya Waalimu wa Kiislamu Tanzania ya Tamta Mohamed Mohamed Zikri akifuatiwa na Mwakilishi kutoka Katoliki Chumbageni John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani