Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


sherehe ya kuadhimisha miaka 10 ya Michuzi blog Globu ya jamii...Libeneke oyeeeeee!!

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 10 YA MICHUZI BLOG‏

Ndugu zangu,   KILA jambo la nafsiri yake. Maadhimisho ya Miaka Kumi ya uwepo wa Michuziblog hayawezi kupita bila kutafutiwa tafsiri yake.   Kwanza kabisa, kwa niaba ya wajumbe wangu wote, nichukue fursa hii kumpa pongezi za dhati ndugu yangu Kaka Muhidin Issa Michuzi kwa mafanikio makubwa aliyoyapata na pia mchango wake mkubwa alioutoa kwa Wanablogu wengine, nikiwamo mimi.   Muhidin Michuzi ataingia kwenye vitabu vya...

 

9 years ago

Vijimambo

MIAKA 10 YA MICHUZI BLOG MJUE MICHUZI ALIKOTOKEA NA UPIGAJI PICHA


Hii Video ililekodiwa mwaka 2011 ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: 93.7 E-FM radio Station na michuzi blog zaunganisha nguvu kunogesha libeneke la michezo, muziki na utamaduni

Mwenyekiti Mtendaji wa Michuzi Media Group  (MMG) Ankal Muhidin Issa Michuzi (kulia) na Meneja Maslahi na Sheria wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm Bw. Denis Ssebo  wakipeana mikono baada ya  kusaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano  kwenye hafla fupi zilizofanyika Jumatano Mei 6, 2015 kwenye ofisi za kituo hicho cha redio Mikocheni jijini Dar es salaam.

Pamoja na mambo mengine MMG na Kituo cha redio cha 93.7 E-FM kuanzia sasa watashirikiana katika mambo ya habari, matangazo na shughuli...

 

10 years ago

Michuzi

LEO NI hEPI BESDEI YA KUZALIWA DIXON BUSAGAGA WA BUSAGAGA'S ORIJINO BLOG NA GLOBU YA JAMII KANDA YA KASKAZINI.

Natanguliza shukrani zangu mbele ya Mwenyezi Mungu ambaye ameendelea kunipigania kila kukicha, lakini pia niwashukuru wazazi wangu Abdalah Mbaruku na Eustela Massatu kwa malezi mema ambayo mmekuwa mkinipatia hadi leo kijana wenu nimefikia katika umri huu.Furaha niliyo nayo leo ni sawa na ile ambayo wanayo wadogo zangu wapendwa Jane, Judi, Juma Busagaga , Ashura Mbaruku  na mtoto wangu mpendwa Jesca Dixon pamoja na ndugu zangu kaka, Dada, wajomba ,mashangazi, marafiki na wengine wote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani