HAPPINESS: KUWA MISS TZ SI LAZIMA UWE MCHARUKO!
![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhl6i5qTcMPDGmbBTd7hyFzbrPgZlDg0hdEGHdp0cbjFe7-23cksE2zUXHJ2NtXcDvytoE7iMm1UAWAZVjLCBjyQ/amanda6.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema Miss Tanzania 2013, Hapiness Watimanywa, ameibuka na kusema kuwa kunyakuwa taji la urembo wa Miss Tanzania sio tiketi ya kuwa na skendo mbalimbali au kufanya mambo ambayo ni kinyume na maadili. Miss Tanzania 2013, Hapiness Watimanywa. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Happy alisema kuwa anaamini siyo kwamba mtu anapopata taji la urembo ndiyo linampa kichwa cha kuwa mcharuko, bali inategemea na uelewa wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
ANNASIMA MNUBI: Kuwa mjasiriamali si lazima uwe na mtaji mkubwa
Ni wazi kuwa hali ngumu ya kiuchumi ndiyo iliyowafanya wanawake wengi wakajiingiza katika ujasiriamali na kuachana na dhana ya utegemezi kwa wanaume wao kama ilivyokuwa awali. Wanawake kwa sasa wamekuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qCb_XEnaDrk/VIKegTT3r2I/AAAAAAAG1fo/NPBiG0QuCZ0/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanya at the Miss World in London
10 years ago
Bongo513 Nov
Kamati ya Miss Tz yadaiwa kushindwa kukamilisha mahitaji ya Happiness kwenda Miss World
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oGQwFS7GJLg/VHSS82lxz4I/AAAAAAAA9vs/FgNPBFyhSW4/s72-c/MISS%2BTANZANIA%2B2014.jpg)
WATANZANIA TUMPE SUPPORT MISS TANZANIA HAPPINESS WATIMANYWA KWENYE SHINDANO LA MISS WORLD 2014â€â€Ž
![](http://3.bp.blogspot.com/-oGQwFS7GJLg/VHSS82lxz4I/AAAAAAAA9vs/FgNPBFyhSW4/s1600/MISS%2BTANZANIA%2B2014.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
10 years ago
Dewji Blog26 Nov
VIDEO: Watanzania tumpe support Miss Tanzania Happiness Watimanywa kwenye shindano la Miss World 2014â€â€Ž
Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014.
Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
“Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sKJ50WEg15g/Uw-PohYDbvI/AAAAAAAFQIw/SZnCbKc5IO0/s72-c/c3da4e7ed262f53a64a9e4baac6ec273+(1).jpg)
10 years ago
TheCitizen21 Nov
Happiness: Miss World here I come
9 years ago
Bongo530 Dec
Redio na TV zitawalipa wasanii, asilimia 60 ya muziki utaochezwa lazima uwe wa nyumbani – Nape
![Waziri Nape akihojiwa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Waziri-Nape-akihojiwa-300x194.jpg)
Wakati baadhi ya wasanii na wadau mbalimbali wa burudani nchini wakiendelea kuwa na hofu juu ya mfumo mpya unaovitaka vituo vya redio na runinga kuwalipa wasanii mirahaba inayotokana na kucheza kazi zao, serikali imesema imeunda sheria ambayo itavifanya vishindwe kuepuka kucheza nyimbo za wasanii wa ndani.
Akizungumza na Bongo5 Jumanne hii kwenye uzinduzi wa filamu ya ‘Home Coming’ Mlimani City jijini Dar es Salaam, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye alisema...