Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kofia ya Mugabe yamponza afisa wa chuo

Afisa mmoja Chuo Kikuu cha Zimbabwe amesimamishwa kazi baada yake kudaiwa kumpa Rais Mugabe kofia ndogo sana wakati wa mahafali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Ifahamu sababu ya Ne-Yo kuvaa kofia muda wote, tazama picha zake bila kofia

Umeshawahi kujiuliza kwanini muimbaji wa R&B wa Marekani, Ne-Yo huwa haachi kuvaa kofia kila anapoonekana? Ipo sababu ya kufanya hivyo. Ne-Yo ambaye yupo nchini Kenya kushiriki kwenye kipindi cha Coke Studio Africa, alikutana na swali la huwa anaficha kitu gani chini ya kofia yake? Alianza kujibu kwa utani “Nilipokuwa mdogo, nilipata ajali mbaya sana-Natania” akaendelea […]

 

10 years ago

GPL

AFISA CHUO KIKUU MIKONONI MWA KOVA

Stori: Mayasa Mariwata na Haruni Sanchawa
Afisa Mwandamizi Idara ya Utawala wa Chuo Kikuu Huria jijini Dar es Salaam aliyetambulika kwa jina la Brown Ng’ingo (pichani) amejikuta mikononi mwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar, Kamishna Suleiman Kova baada ya kudaiwa kumtishia kumuua mwanamke aliyekuwa akiishi naye. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni katika ofisi zetu, mama huyo aliyemfikisha afisa huyo kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AREJEA NCHINI BAADA YA KUHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA SADC, JIJINI HARARE, ZIMBABWE, MUGABE AKABIDHI RASMI CHUO CHA UTUNZAJI AMANI

 Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, akimkabidhi Katibu Mtendaji wa SADC, Dkt Stargomena Tax, mfano wa funguo kama ishala ya makabidhiano ya Kituo cha Mafunzo ya Utunzaji Amani katika nchi za SADC, wakati wa Mkutano wa dharura uliofanyika jana Aprili 29, 2015 kwenye Hoteli ya Rainbow jijini Harare, Zimbabwe.Kufuatia makabidhiano haya, Chuo hiki sasa kitakuwa kinamilikiwa na SADC na matumizi yake yatahusisha vyombo na wataalamu mbalimbali wanaohusika na masuala ya utunzaji amani ndani ya nchi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sigara yamponza Szczesny

Kipa wa kikosi cha kwanza cha Arsenal, Wojciech Szczesny amepigwa faini ya pauni 20,000

 

10 years ago

GPL

BVR YAMPONZA MKE WA MTU

Mama Khadija anayedaiwa kupigwa na mumewe. Hamida hassan VIOJA! Zoezi la uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu unaoendelea jijini Dar es Salaam juzi kati ulimponza mwanamke mmoja, Mama Khadija baada ya kupigwa vibaya na mumewe kisha kufukuzwa, baada ya kuchelewa kurudi nyumbani akitokea kituoni kujiandikisha.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1MDdj39 ...

 

9 years ago

Mtanzania

Kauli yamponza Jose Mourinho

Jose MourinhoLONDON, ENGLAND

CHAMA cha Soka England (FA), kimemfungia mchezo mmoja kuingia uwanjani na faini ya pauni 50,000 kocha wa timu ya Chelsea, Jose Mourinho.

Adhabu hiyo imekuja baada ya kocha huyo kukutwa na kosa la kuvunja kanuni za FA inayohusiana na maelezo yake ya mwisho wa mchezo walipofungwa na Southampton mabao 3-1.

Mourinho alikutwa na kosa la kumbwatukia mwamuzi wa mchezo huo, akidai kuwa aliwaua baada ya kuwa na ‘hofu ya kutoa maamuzi kwa Chelsea’.

FA imesema kuwa ina uwezo wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maneno yamponza Nick Kyrgios

Mcheza tenisi Nick Kyrgios ametozwa faini ya dola za marekani elfu kumi baada ya kumtusi mchezaji mwenzake Stan Wawrinka

 

9 years ago

Global Publishers

Tuzo ya clayton yamponza ester

ester4Na Deogratius Mongela

KIHEREHERE! Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama hivi karibuni alijiponza baada ya kushambuliwa mtandaoni kisa kikiwa ni kumsifu muigizaji mwenzake wa kiume, Omary Clayton aliyeshinda tuzo ya kimataifa ijulikanayo kama California Online Viewers Choice.

Akipiga stori na gazeti hili, Ester alisema aliweka ujumbe na picha kwenye ukurasa wake wa Instagram kuipongeza filamu ya Dogo Masai kuchukua tuzo nje ya nchi sambamba na kumpongeza Omary, lakini kilichotibua hali ya hewa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TWB yamponza Pindi Chana bungeni

NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Pindi Chana, ameshambuliwa na wabunge kwa kitendo cha Benki ya Wanawake Tanzania, (TWB), kufungua vituo vya kutolea mikopo mikoa ya Nyanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani