Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maneno yamponza Nick Kyrgios

Mcheza tenisi Nick Kyrgios ametozwa faini ya dola za marekani elfu kumi baada ya kumtusi mchezaji mwenzake Stan Wawrinka

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maneno na Miundo ya maneno ya Kiswahili inayokanganya.

Baada ya kuandika juu ya Asili na Chimbuko la Kiswahili katika Afrika Mashariki, nitaeleza kwa muhtasari matatizo yanayoikumba lugha hii hasa katika tahajia, matamshi, maana na matumizi yake. Kwa maneno mengine, lugha ya Kiswahili hivi sasa inawakanganya watumiaji wake hasa wanafunzi wa ndani na  nje ya Afrika Mashariki. Mkanganyiko huu unasababishwa na udhaifu uliopo katika taaluma ya lugha ya Kiswahili kama mofolojia, fonolojia, sintaksia na semantiki kwa waandishi na watangazaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

'Maneno maneno' yamkera Waziri

WAZIRI wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amekerwa na kauli ya kuwa Bahi hawautaki mradi wa maji wa bwawa la Farkwa na kutaka maoni ya watu wachache yasiwe sababu za kukwamisha mradi huo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sigara yamponza Szczesny

Kipa wa kikosi cha kwanza cha Arsenal, Wojciech Szczesny amepigwa faini ya pauni 20,000

 

10 years ago

GPL

BVR YAMPONZA MKE WA MTU

Mama Khadija anayedaiwa kupigwa na mumewe. Hamida hassan VIOJA! Zoezi la uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu unaoendelea jijini Dar es Salaam juzi kati ulimponza mwanamke mmoja, Mama Khadija baada ya kupigwa vibaya na mumewe kisha kufukuzwa, baada ya kuchelewa kurudi nyumbani akitokea kituoni kujiandikisha.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1MDdj39 ...

 

9 years ago

Global Publishers

Tuzo ya clayton yamponza ester

ester4Na Deogratius Mongela

KIHEREHERE! Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama hivi karibuni alijiponza baada ya kushambuliwa mtandaoni kisa kikiwa ni kumsifu muigizaji mwenzake wa kiume, Omary Clayton aliyeshinda tuzo ya kimataifa ijulikanayo kama California Online Viewers Choice.

Akipiga stori na gazeti hili, Ester alisema aliweka ujumbe na picha kwenye ukurasa wake wa Instagram kuipongeza filamu ya Dogo Masai kuchukua tuzo nje ya nchi sambamba na kumpongeza Omary, lakini kilichotibua hali ya hewa...

 

9 years ago

Mtanzania

Kauli yamponza Jose Mourinho

Jose MourinhoLONDON, ENGLAND

CHAMA cha Soka England (FA), kimemfungia mchezo mmoja kuingia uwanjani na faini ya pauni 50,000 kocha wa timu ya Chelsea, Jose Mourinho.

Adhabu hiyo imekuja baada ya kocha huyo kukutwa na kosa la kuvunja kanuni za FA inayohusiana na maelezo yake ya mwisho wa mchezo walipofungwa na Southampton mabao 3-1.

Mourinho alikutwa na kosa la kumbwatukia mwamuzi wa mchezo huo, akidai kuwa aliwaua baada ya kuwa na ‘hofu ya kutoa maamuzi kwa Chelsea’.

FA imesema kuwa ina uwezo wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapenzi ya jinsia moja yamponza Anwar

Hatima ya kiongozi wa upinzani nchini Malaysia Anwar Ibrahim ni mwezi march mwaka huu iwapo atafungwa jela ama la.

 

10 years ago

BBCSwahili

Alama ya ulaji ndizi yamponza Tavecchio

Shirikisho linalo simamia mpira wa soka ulaya,UEFA linania ya kumchunguza rais wa soka wa Italia Carlo Tavecchio

 

9 years ago

BBCSwahili

Kofia ya Mugabe yamponza afisa wa chuo

Afisa mmoja Chuo Kikuu cha Zimbabwe amesimamishwa kazi baada yake kudaiwa kumpa Rais Mugabe kofia ndogo sana wakati wa mahafali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani