Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maneno na Miundo ya maneno ya Kiswahili inayokanganya.

Baada ya kuandika juu ya Asili na Chimbuko la Kiswahili katika Afrika Mashariki, nitaeleza kwa muhtasari matatizo yanayoikumba lugha hii hasa katika tahajia, matamshi, maana na matumizi yake. Kwa maneno mengine, lugha ya Kiswahili hivi sasa inawakanganya watumiaji wake hasa wanafunzi wa ndani na  nje ya Afrika Mashariki. Mkanganyiko huu unasababishwa na udhaifu uliopo katika taaluma ya lugha ya Kiswahili kama mofolojia, fonolojia, sintaksia na semantiki kwa waandishi na watangazaji wa...

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Aina za maneno ya Kiswahili (hitimisho)

Viwakilishi ni maneno yanayotumika badala ya majina au nomino. Zifuatazo ni baadhi ya aina za viwakilishi na mifano yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Tatizo la kufananisha maneno ya Kiswahili

Napenda kuendelea na kazi yangu ya kuielimisha jamii ya Kitanzania hasa waandishi wa habari, pia wanafunzi katika ngazi mbalimbali za elimu na walimu. Walimu nao watafaidika na makala zangu kwani kusoma na kujifunza ni hatua za kuboresha taaluma zetu.

 

10 years ago

Mwananchi

Aina nane za maneno katika Kiswahili

Katika lugha ya Kiswahili kuna aina nane za maneno ambazo wataalamu wengi wazimebainisha. Aina hizo ni nomino (N), viwakilishi (W), vitenzi (T), vivumishi (V), vielezi (E), viunganishi (U), vihusishi (H), vihisishi (I).

 

10 years ago

Habarileo

'Maneno maneno' yamkera Waziri

WAZIRI wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amekerwa na kauli ya kuwa Bahi hawautaki mradi wa maji wa bwawa la Farkwa na kutaka maoni ya watu wachache yasiwe sababu za kukwamisha mradi huo.

 

10 years ago

Bongo Movies

MZIGO MPYA: JB Akiwa “Location”Anammezesha Maneno ya Kiswahili Mzungu

Mwigizaji na mwogozaji wa filamu za Kitanzania, Jacob Stephen “JB” ameonekana akiwa “Location”akimuelezeka jamaa mwenye asili ya nchi za ng’ambo “Mzungu”ambae jina lake halijahamika, kwa kumsomea na kumakalilisha maneno ya kiswahili kwenye kipande cha filamu ambayo wanai-shoot katika eneo hilo.

Bado haijawekwa wazi, jina na lini itatoka filamu hii inayofanyika chini ya kampuni ya Jerusalem Film Campany, ambayo inaongozwa na JB mwenyewe.

Kuzungumzia kazi hii mpya ambayo mzungu ndani, JB...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maneno mazima ya Mh Enzi Talib

Na Enzi T. Aboud KAMA aliyoyasema Balozi Seif Ali Iddi, Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa kampeni wa CCM Zanzibar, yalitoka moyoni mwake kuwa viongozi wa CUF na UKAWA kupitia cha CHADEMA, […]

The post Maneno mazima ya Mh Enzi Talib appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Nape, Mgeja warushiana maneno

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye na aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja jana walirushiana maneno kutokana na kada huyo kutangaza kuhamia Chadema.

 

9 years ago

Habarileo

NEC yakanusha maneno ya Mbowe

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimedai hakitakabidhi madaraka kwa upinzani hata ikishindwa katika uchaguzi mkuu kuwa ni potofu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kificho: Warioba alinilisha maneno

Wakati bado msimamo wa Wajumbe wa Bunge la Katiba wa kundi la Ukawa ukiwa haufahamiki kama watarejea bungeni kuendelea na vikao hivyo mwezi Agosti au la, mjadala wa katiba mpya umechukua sura mpya, baada ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho, kuungana na viongozi wa CCM kukibeza kikundi hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani