Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aina nane za maneno katika Kiswahili

Katika lugha ya Kiswahili kuna aina nane za maneno ambazo wataalamu wengi wazimebainisha. Aina hizo ni nomino (N), viwakilishi (W), vitenzi (T), vivumishi (V), vielezi (E), viunganishi (U), vihusishi (H), vihisishi (I).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Aina za maneno ya Kiswahili (hitimisho)

Viwakilishi ni maneno yanayotumika badala ya majina au nomino. Zifuatazo ni baadhi ya aina za viwakilishi na mifano yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Maneno na Miundo ya maneno ya Kiswahili inayokanganya.

Baada ya kuandika juu ya Asili na Chimbuko la Kiswahili katika Afrika Mashariki, nitaeleza kwa muhtasari matatizo yanayoikumba lugha hii hasa katika tahajia, matamshi, maana na matumizi yake. Kwa maneno mengine, lugha ya Kiswahili hivi sasa inawakanganya watumiaji wake hasa wanafunzi wa ndani na  nje ya Afrika Mashariki. Mkanganyiko huu unasababishwa na udhaifu uliopo katika taaluma ya lugha ya Kiswahili kama mofolojia, fonolojia, sintaksia na semantiki kwa waandishi na watangazaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

SSRA katika maonesho ya Sherehe ya wakulima (NANE NANE) Mkoani Morogoro

Afisa uhusiano mwandamizi Bw. Fulgence Sebera akitoa maelezo ya shughuli za Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Majid Mwanga (wa tatu kulia) aliyeambatana na viongozi wengine wa TASO walipotembelea banda la SSRA katika sherehe za maonesho ya wakulima Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere mkoani Morogoro.Mch. Vernon Fernandes (aliyekaa) alipotembelea banda la SSRA katika maonesho ya Nanenane Morogoro,...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu kiongozi katika maonyesho ya Nane nane kanda ya kati Dodoma

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisalimiana na wafanyakazi waliopo katika maonyesho ya Nane nane katika Jengo la maonyesho la Ofisi ya Rais maeneo ya Nzuguni Dodoma ambapo maonyesho haya yameadhimishwa kwa kushirikisha mikoa ya kanda ya kati.Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiangalia baadhi ya Bidhaa zinazotengenezwa na badhi ya wajasiriamali wanaonufaika na mfuko wa maendeleo ya jamii-TASAF (Tanzania Social Action Fund) ndani ya Jengo lamaonyesho la Ofisi ya Rais Nzuguni...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe. Membe atembelea BANDA LA NMB LINDI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiangalia bidhaa zinazozalishwa na mjasiriamali anayesaidiwa na benki ya NMB kwenye banda la Benki hiyo kwenye Maonesho ya NaneNane mkoani Lindi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akipata maelezo juu ya  bidhaa zinazozalishwa na mjasiriamali anayesaidiwa na benki ya NMB kwenye banda la Benki hiyo kwenye Maonesho ya NaneNane mkoani Lindi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa...

 

11 years ago

Michuzi

VETA KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI

Wafanyakazi na wanafunzi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA kutoka vyuo mbalimbali nchini wapo katika maonesho ya wakulima nane nane yanayofanyika Kitaifa Mkoani Lindi katika viwanja vya maonesho Ngongo kilometya 17 kutoka Lindi mjini. VETA wamesheni vitu mbalimbali na mafunzo kwa wakulima na teknolojia za kisasa. Pia kuna mgahawa wa kisasa upo kibandani kwao na unatoa huduma zote za hoteli kuanzaia chakula na vinywaji vyote. SOURCE: FATHER KIDEVU BLOG Mwanafunzi wa Uashi wa VETA,...

 

11 years ago

Mwananchi

Tatizo la kufananisha maneno ya Kiswahili

Napenda kuendelea na kazi yangu ya kuielimisha jamii ya Kitanzania hasa waandishi wa habari, pia wanafunzi katika ngazi mbalimbali za elimu na walimu. Walimu nao watafaidika na makala zangu kwani kusoma na kujifunza ni hatua za kuboresha taaluma zetu.

 

11 years ago

Michuzi

Matukio katika Picha Nane Nane Lindi

 Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Edga Senga akipokea maelekezo kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr. Florence Turuka kuhusu masuala ya Maafa alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika Mkoani Dodoma, Tarehe 3 Agosti, 2014.

Mratibu Msaidizi wa Tovuti ya TAYOA Bw. John J. Mindu akimweleza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Florence Turuka kuhusu tovuti ya vijana ya vijanatz. Com inayoelezea masuala ya Biashara, Afya, Ajira kwa vijana ili waweze...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI MDOGO WA KENYA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA BANDA LA SIMBA CEMENT KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE ARUSHA

IMG_1853Aliyevalia shati la blue ni Balozi mdogo wa Kenya Tanzania,Boniface Muhia akiondoka katika banda la kampuni yaSimba Cement mara baada ya kutembelea banda hilo katika viwanja vya nane nane Themi jijini Arusha ,kushoto ni Mkurugenzi wa Kenya plant helth inspectorate service Bi.Esther Kimani(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)IMG_1863Wananchi wakipata elimu katika banda la Simba Cement katika maonyesho ya nane nane ya kandaele ya kaskazini yanayoendelea katika viwanja vya njiro Themi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani