Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yakanusha maneno ya Mbowe

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimedai hakitakabidhi madaraka kwa upinzani hata ikishindwa katika uchaguzi mkuu kuwa ni potofu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

NEC yakanusha tuhuma kuhusu BVR

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema tuhuma zilizotolewa, zinazodai kuna uandikishaji wa wapiga kura kwa mashine za BVR, unaofanyika katika eneo la viwanda Mikocheni jijini Dar es Salaam, hazina ukweli.

 

9 years ago

Michuzi

CHADEMA tawi la MAREKANI yakanusha Taarifa kuhusu kuwapokea Dr Wilbroad Slaa na Mheshimiwa Freeman Mbowe hapa

Mwenyeketi wa Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Washington DC, Kalley Pandukizi  (kulia) akiwa na Katibu wa chama hicho, Ndugu Libe Mwang'ombe (katikati) alipotoa kadi rasmi kwa Beautician maarufu na designer Mtanzania, Linda Bezuidenhout (kushoto). Picha ya Maktaba.Napenda kuchukua nafasi hii kukanusha taarifa ya uongo na uzushi iliyoenezwa kupitia mitandao ya kijamii leo tarehe 18 Septemba 2015 iliyoanzia kwenye JamiiForums yenye kichwa cha habari “Mbowe asalimu amri kwa...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI NCHINI WATHIBITISHA MBOWE ALIKUWA AMELEWA CHAKALI KIASI CHA KUSHINDWA KUTAMKA MANENO SIKU ANAYODAI KUSHAMBULIWA

*Ni baada ya kuzunguka katika maeneo yanayoza vileo saa saba ya usiku
*Pia alikwenda kwa mzazi mwenzie Mbunge wa Viti Maalum Joyce Nkya


Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za starehe zinazouza vileo ikiwemo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Maneno na Miundo ya maneno ya Kiswahili inayokanganya.

Baada ya kuandika juu ya Asili na Chimbuko la Kiswahili katika Afrika Mashariki, nitaeleza kwa muhtasari matatizo yanayoikumba lugha hii hasa katika tahajia, matamshi, maana na matumizi yake. Kwa maneno mengine, lugha ya Kiswahili hivi sasa inawakanganya watumiaji wake hasa wanafunzi wa ndani na  nje ya Afrika Mashariki. Mkanganyiko huu unasababishwa na udhaifu uliopo katika taaluma ya lugha ya Kiswahili kama mofolojia, fonolojia, sintaksia na semantiki kwa waandishi na watangazaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

'Maneno maneno' yamkera Waziri

WAZIRI wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amekerwa na kauli ya kuwa Bahi hawautaki mradi wa maji wa bwawa la Farkwa na kutaka maoni ya watu wachache yasiwe sababu za kukwamisha mradi huo.

 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha nyongeza ya posho

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete hajaongeza posho kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Sh 300,000 za sasa na kueleza kuwa hajawahi kupokea maombi ya nyongeza ya posho hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

TZ yakanusha biashara ya pembe za ndovu

Tanzania imeshtushwa na ripoti inayoelezea biashara haramu ya meno ya tembo kati ya baadhi ya viongozi wa nchi hiyo na China

 

10 years ago

Tanzania Daima

Shiuma yakanusha kujihusisha na siasa

SHIRIKA la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma), lenye makao yake makuu mkoani hapa limekanusha uvumi wa kujihusisha na baadhi ya vyama vya siasa nchini. Kauli hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti...

 

10 years ago

Mwananchi

CUF yakanusha kujitoa Ukawa

>Chama cha Wananchi CUF kimekanusha taarifa zilizoenea kuwa kimejitoa kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) CUF imesema kuwa haikuhudhuria katika kikao cha Ukawa kilichoendelea jana kwa sababu kwanza hawakupata taarifa na pia walikuwa na kikao cha ndani ya chama kama katiba yao inavyotaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani