AFISA CHUO KIKUU MIKONONI MWA KOVA
![](http://api.ning.com:80/files/Ytz*1w0-YzAOCgW14cbGuFQrkw-czf*qft7mMC3JopGSd3qGKN8s9GL7MebFJp-qmokid2-2kkbrxrz312xuz2yW0SpZeAE8/Polisi.jpg)
Stori: Mayasa Mariwata na Haruni Sanchawa Afisa Mwandamizi Idara ya Utawala wa Chuo Kikuu Huria jijini Dar es Salaam aliyetambulika kwa jina la Brown Ng’ingo (pichani) amejikuta mikononi mwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar, Kamishna Suleiman Kova baada ya kudaiwa kumtishia kumuua mwanamke aliyekuwa akiishi naye. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni katika ofisi zetu, mama huyo aliyemfikisha afisa huyo kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/26rh2i2B5MblVFMJKkmKMcmSyeGBNryDrtHQQ9Rq7PZTO5pihwLl5g4CVlagW3qQa9ph5Kt*BkAvvIhEfVL-gnxqeIFSNnMy/IMG20140923WA0003.jpg)
CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-giPeU1UMfdo/VDkyqUdscCI/AAAAAAAGpL4/QLYLeHIrSKo/s72-c/pinda%2Bmizengo.jpg)
WAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-giPeU1UMfdo/VDkyqUdscCI/AAAAAAAGpL4/QLYLeHIrSKo/s1600/pinda%2Bmizengo.jpg)
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Sherehe 30 mikononi mwa Magufuli
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Yondani mikononi mwa TFF
BENCHI la ufundi la timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars chini ya kocha wake Mart Nooij, limesema halitambui sababu za beki wa timu hiyo Kelvin Yondani kushindwa kwenda kambini,...
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Mbowe mikononi mwa polisi
JOPO la Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na wanachama wa chama hicho, leo wamepanga kumsindikiza mwenyekiti wao Freeman Mbowe aliyeitwa Makao Makuu ya Polisi kwa ajili ya...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Wanusurika kifo mikononi mwa sungusungu
WATU watatu wanaotuhumiwa kwa wizi wamenusurika kuuawa na sungusungu katika Kijiji cha Igumo, Kata ya Chabutwa, wilayani Igunga, Tabora. Watuhumiwa hao ni Shija Shija (27), Mathew John (26) na Mathias...
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
''Niliponea kifo mikononi mwa Al Shabaab''
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Kijana aokolewa mikononi mwa Wanamgambo
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Hatima ya Bunge la Katiba mikononi mwa JK