Kwa nini uvae kofia isiyokutosha?
Kuna ua fulani ambalo utotoni mwetu tuliliita ‘Don’t Touch’. Lilifanana kimaumbile na waridi. Ikitokea nyuki akaligusa kwa nia ya kufyonza utamu wa chavua, lilijifunga kuficha mbegu na utamu wake usifyonzwe. Pia lilifanya vivyo hivyo kwa binadamu au kiumbe yeyote lilipomhisi akitaka kulihujumu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo519 Aug
Ifahamu sababu ya Ne-Yo kuvaa kofia muda wote, tazama picha zake bila kofia
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa mafuta, kofia, pikipiki na kompyuta kwa albino
10 years ago
GPLKWA NINI BEI YA MAFUTA KWA WALAJI HAISHUKI KWA KASI?
11 years ago
Mwananchi16 Dec
Swita amvulia kofia Yondani
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Plujim amvulia kofia Msuva
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Plujim, amekiri Ligi Kuu ya Vodacom iliyoisha ilikuwa ngumu huku akidai kuwa mchezaji bora wa timu yake kwa muda aliokuwepo Jangwani ni mshambuliaji chipukizi, Simon...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bt5BWlmh0GbxOrvAE4yw3XGov34iuTuHZAVPHFwkmnb8eYTfPjOc*WGxeaEZaCp7Tgi9VLuHtcrRGKg--EbA1xetUBpXT4f4/DIAMOND.gif?width=650)
MMAREKANI NE-YO AMVULIA KOFIA DIAMOND
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Kagame amvulia kofia JPM
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Shamsa amvulia kofia Irene Uwoya
NA THERESIA GASPER
MSANII wa filamu nchini, Shamsa Ford, amesema katika wasanii ambao anawakubali kutokana na ubora wa kazi zao mmojawapo ni Irene Uwoya.
Shamsa alisema msanii huyo anajua nini anachofanya na anapenda kupeana ushauri na kushirikiana katika mambo mbalimbali na wenzake.
Shamsa aliyasema hayo alipokuwa akimkabidhi zawadi Irene katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwake Sinza, Dar es Salaam.
“Tabia yangu na ya Irene inaendana kwani...
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
Kofia ya Mugabe yamponza afisa wa chuo