Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco yakamata mfanyakazi ‘feki’ anayeunganisha umeme

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limemkamata mkazi wa Mikocheni, Hamad Mlolwa kwa tuhuma za kujifanya mfanyakazi wa shirika hilo na kuziunganishia umeme kinyemela nyumba mbili zilizopo eneo la Kimara Matosa katika Manispaa ya Kinondoni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA





Mhandisi  Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa  habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini




Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na...

 

9 years ago

Habarileo

Tanesco yakamata 235 kwa hasara ya mil 200/

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Arusha limekamata watu 235 wanaodaiwa kuwa ni wezi waliokuwa wakihujumu baadhi ya miundombinu ya shirika hilo na kulisababishia hasara ya zaidi ya Sh milioni 200.

 

11 years ago

Michuzi

KISHOKA ALIYEJIFANYA MFANYAKAZI WA TANESCO ADAKWA LIVE MLIMANI CITY

10500539_819006161445574_7780628803053090260_nKishoka aliyekamatwa Mlimani City.TAPELI linalotuhumuwa kukubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya mfanyakazi  wa shirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa Afisa wa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma- Ledama.Kwa mujibu wa Bi. Usia, tapeli huyo alifika asubuhi akiwa na wenzake sita, nyumbani kwake.  Wakasema wanatoka Tanesco na hapo wamekuja kucheki mita ya...

 

11 years ago

GPL

TAPELI LILILOJIDAI MFANYAKAZI WA TANESCO LADAKWA LIVE MLIMANI CITY!

Pichani juu na chini ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City. Na Mwandishi wetu TAPELI lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa Afisa wa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma- Ledama. Kwa mujibu wa Bi. Usia akieleza tukio hilo,...

 

9 years ago

Mwananchi

TBS yabaini vifaa feki vya umeme jua

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wafanyabiashara wanaouza bidhaa hafifu za moduli feki za umeme nuru ‘Solar Power Panels’ kuziondoa madukani haraka, kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco yapandisha bei ya umeme

>Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za umeme ambazo zimepanda kwa kuzingatia makundi tofauti.

 

10 years ago

Habarileo

Mitambo ya umeme ‘yaitafuna’ Tanesco

Wafadhili na mabalozi wanaowakilisha mashirika na nchi zao hapa nchini wakikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme wa gesi cha Kinyerezi, Dar es Salaam hivi karibuni.MITAMBO ya kufua umeme inayotumia mafuta kwa ajili ya kufua umeme nchini, imetajwa kuwa kikwazo katika maendeleo ya Taifa, kutokana na kutumia rasilimali fedha za kigeni nyingi katika kuzalisha nishati hiyo nchini, ambayo ingeweza kutumika katika maendeleo.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yakataa umeme wa bei ghali

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim MaswiSHIRIKA la Umeme (Tanesco) limekataa mkataba wa kununua umeme wa makaa ya mawe kwa gharama kubwa kutoka Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), kwa kuwa utavuruga mpango wao wa kupunguza gharama ya umeme kwa wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TCCL kunua umeme wa MVA 40 Tanesco

KAMPUNI ya Saruji Tanga (TCCL), imeingia makubalino ya kununua umeme wa kiwango cha MVA 40 na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kituo cha Pongwe, jijini Tanga. Akizungumza wakati wa kusaini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani