Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Familia yahamishia makazi chooni

FAMILIA ya watu watatu akiwemo mtoto wa umri wa miaka saba imelazimika kuhamishia makazi chooni baada ya paa la nyumba waliyokuwa wakiishi kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua iliyonyesha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Familia yaishi chooni ni baada ya nyumba yao kuezuliwa na upepo wilayani Hai, Kilimanjaro

 Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai.  Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai.
 Nyumba ambayo familia ya Aziza Maohamed ilikuwa ikiishi awali kabla ya kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua katika kitongoji cha Kijweni...

 

11 years ago

Mwananchi

Familia 400 zakosa makazi

 Kaimu Mkurugenzi wa Maafa wa Shirika la Msalaba Mwekundu, Renatus Mkaruka amesema familia zaidi ya 400 za Dar es Salaam hazina makazi na zinaishi kwenye vituo visivyo rasmi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu makazi ya familia 14

Familia 14 zenye watu 74 za kijiji cha Ngumbu, wilaya ya Liwale, mkoani Lindi hazina makazi kutokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali ambayo pia imeezua madarasa  matatu na stoo ya shule ya kijiji hicho.

 

10 years ago

Michuzi

ZAIDI YA FAMILIA 200 ZAACHWA BILA MAKAZI ZANZIBAR KUFUATIA MVUA KALI ZA MASIKA

Baadhi ya wananchi wakitafuta maeneo ya hifadhi































Na Abou Shatry wa Swahili Villa
Familia zisizopungua 200 zimeachwa bila makaazi baada ya makaazi yao kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyoikumba manispaa ya mji wa Unguja na vitongoji vyake.Akizungumza na Swahilivilla kwa njia ya simu, mkaazi wa Mwanakwerekwe Sokoni, mjini Unguja ndugu Mussa Makame alisema kuwa mvua hizo zilizoendelea kwa muda wa siku mbili mfululizo, zimepelekea maafa makubwa katika miundombinu mjini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vodacom yahamishia michezo viganjani

ZIKISALIA siku chache kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil, wapenzi wa soka nchini wamerahisishiwa kupata habari za fainali hizo kupitia simu zao za mkononi mahali...

 

11 years ago

Habarileo

Chadema yahamishia hasira za Zitto CUF

Mwenyekiti wa taifa wa Chadema, Freeman MboweMGOGORO unaoendelea Chadema umefikia hatua ya kuanza kutafuta mchawi ndani na nje ya chama hicho, ambapo sasa kimeishika CUF na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono kwa madai ya kumwunga mkono aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, Kabwe Zitto.

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yahamishia Habari za Michezo viganjani

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa(kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na uzinduzi wa huduma ya"Global Sport"kwa wa wapenzi wa michezo nchini kuweza kupata habari mbalimbali bure kwa siku(15)za mwanzo kupitia simu zao za mkononi mahali popote na muda wowote ili kujiunga mteja anatakiawa kuandika neno SPORT au SPORTS kwenda namba 15778,katikati ni kocha msaidizi wa simba Seleman Matola na Afisa huduma za ziada wa...

 

11 years ago

GPL

VODACOM YAHAMISHIA HABARI ZA MICHEZO VIGANJANI‏

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa huduma ya "Global Sport" kwa wapenzi wa michezo nchini kuweza kupata habari mbalimbali bure kwa siku (15) za mwanzo kupitia simu zao za mkononi mahali popote na muda wowote. Ili kujiunga mteja anatakiwa kuandika neno SPORT au SPORTS kwenda namba 15778, katikati ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani