Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZAIDI YA FAMILIA 200 ZAACHWA BILA MAKAZI ZANZIBAR KUFUATIA MVUA KALI ZA MASIKA

Baadhi ya wananchi wakitafuta maeneo ya hifadhi































Na Abou Shatry wa Swahili Villa
Familia zisizopungua 200 zimeachwa bila makaazi baada ya makaazi yao kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyoikumba manispaa ya mji wa Unguja na vitongoji vyake.Akizungumza na Swahilivilla kwa njia ya simu, mkaazi wa Mwanakwerekwe Sokoni, mjini Unguja ndugu Mussa Makame alisema kuwa mvua hizo zilizoendelea kwa muda wa siku mbili mfululizo, zimepelekea maafa makubwa katika miundombinu mjini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu makazi ya familia 14

Familia 14 zenye watu 74 za kijiji cha Ngumbu, wilaya ya Liwale, mkoani Lindi hazina makazi kutokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali ambayo pia imeezua madarasa  matatu na stoo ya shule ya kijiji hicho.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mvua za masika Zanzibar zasababisha vifo na uharibifu wa miundo mbinu

IMG_4180

Pichani juu na chini ni baadhi ya sehemu za Unguja zilizoathirika na mvua za masika zinazoendelea kunyesha visiwani humo.(Picha zote na Othman Maulid wa www.zanzinews.com)

Na Abdulla Ali-Maelezo Zanzibar                                        

Mvua za masika zinazoendelea kunyesha Visiwani Zanzibar zimesababisha hasara kubwa ikiwemo upotevu mali na mifugo, uharibifu wa miundombinu pamoja na kusababisha vifo vya watu.

Hayo yamweelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais...

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yaacha watu 400 bila makazi

MVUA kubwa iliyoambatana na mawe na upepo mkali, imewaacha zaidi ya watu 400 katika kijiji cha Mwandoya wilayani Meatu mkoani Simiyu bila kuwa na mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kuezuliwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaua watu watatu, kaya zaidi ya 70 zakosa makazi

Watu watatu wamefariki dunia na familia zaidi ya 70 zimekosa mahala pa kuishi, huku mifugo zaidi ya 150 ikisadikiwa kufa baada ya kukumbwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Arumeru mkoani Arusha.     

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi waonywa mvua za masika

WANANCHI wametakiwa kuchukua tahadhari za aina mbalimbali kukabiliana na maafa zaidi katika kipindi hiki cha mvua zinazonyesha za masika.

 

5 years ago

Michuzi

Wananchi Chukueni tahadhari msimu wa Mvua za Masika- TMA

Na Karama Kenyunko, globu ya jamii
HIVI karibuni Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA )imetoa utabir wake wa Mvua  za masika kwa kipindi cha Machi hadi Mei,2020 ambazo  zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani .
Mvua hizo zinatarajia kunyesha katika maeneo ya Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba, maeneo mengi ya Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro, Mashariki mwa Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara.
Maeneo ya Mkoa wa Kagera, magharibi mwa Mkoa wa...

 

5 years ago

Michuzi

MAKALA: Wananchi Chukueni tahadhari msimu wa Mvua za Masika- TMA


Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii
HIVI karibuni Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA )imetoa utabir wake wa Mvua  za masika kwa kipindi cha Machi hadi Mei,2020 ambazo  zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani .

Mvua hizo zinatarajia kunyesha katika maeneo ya Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba, maeneo mengi ya Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro, Mashariki mwa Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara.

Maeneo ya Mkoa wa Kagera, magharibi mwa Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani