Je,wajawazito hulala na wakunga?
Wakunga wa kiume huwadanganya wanawake wajawazito katika makaazi ya mijini kufanya tendo la ngono kabla ya kujifungua.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Matajiri hulala muda mfupi kuliko masikini?
10 years ago
Habarileo06 May
Wizara yawaanzishia kurugenzi Wakunga
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeanzisha Kurugenzi ya Wauguzi na Wakunga katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ili kurahisisha utatuzi wa changamoto zinazowakabili kwenye utoaji wa huduma kwa umma.
10 years ago
Mtanzania06 May
Serikali yaanzisha kurugenzi ya wakunga
Na Shomari Binda, Musoma
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeanzisha Kurugenzi ya Wauguzi na Wakunga katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ili kurahisisha utatuzi wa changamoto zinazowakabili kwenye utoaji wa huduma kwa umma.
Kauli hiyo ameitoa jana wakati akizungumza na wauguzi na wakunga pamoja na wakazi wa Mkoa wa Mara kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mukendo mjini Musoma.
“Nina taarifa kuwa kuanzia mwaka ujao wa fedha...
10 years ago
Habarileo31 Jan
SMZ kuwapatia elimu wakunga wa jadi
WIZARA ya Afya imesema inathamini kazi inayofanywa na wakunga wa jadi katika kutoa huduma za kujifungua kwa kinamama majumbani na kusema inakusudia kuwapatia mafunzo zaidi ya kazi zao.
10 years ago
Vijimambo05 May
SERIKALI YAANZISHA KURUGENZI YA WAUGUZI NA WAKUNGA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/05/114.jpg)
![4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/05/44.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakunga waliozawadiwa zawadi mbalimbali kutokana na mchango wao katika kuwahudumia wajawazito wanaojifungua katika meneo mbalimbali nchini. Mheshimiwa Pinda alikuwa mgeni rasmi katika sherehe...
10 years ago
Dewji Blog06 May
Wakunga wahimizwa kushirikiana kutengeneza taifa la kesho
Rais wa chama cha wakunga nchini (TAMA), Feddy Mwanga akimkaribisha Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wakunga duniani, Frances Ganges (kulia) kuzungumza na wakunga nchini waliokusanyika kwenye mdahalo wa siku moja kuelekea sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa imefanyika mjini Musoma mkoani Mara. Kushoto ni Kaimu Muuguzi mkuu wa serikali kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Ama Kasangala. (Picha zote na Zainul Mzige wa...
10 years ago
MichuziAMREF NA KCB ZASHIRIKIANA KATIKA ELIMU ZA WAKUNGA
10 years ago
MichuziWAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZINDUA BARAZA LA WAUGUZI NA WAKUNGA
Akizungumza katika uzinduzi rasmi wa Baraza Wauguzi na Wakunga katika Chuo cha Sayanzi ya Afya Mbweni, Waziri Rashid Seif amesema wauguzi na wakunga ni walezi wanaoshughulikia matatizo ya watu hivyo wanatakiwa kutekeleza wajibu wao kwa uadilifu.
Amesema ...
10 years ago
GPLAMREF NA KCB ZASHIRIKIANA KATIKA ELIMU ZA WAKUNGA